jndetembea
Member
- Feb 12, 2014
- 27
- 20
Hivi Ukitaka kumuuliza mtu "wewe ni mtoto wa ngapi kwenu? au wewe ni wa ngapi kuzaliwa kwenu?" kwa kiingereza utasemaje?
Jibu ni= "I am the first born in my family" Swali la jibu hili litakuwaje?Utauliza ; how many are you in your family?
Atajibu ;we are ten of us
Utauliza; and you are?
Atajibu ;I am the seventh born
Swali halibadiliki, tena kwa wazaliwa wa kwanza huna hata haja ya kuuliza, ukiuliza tu mko wangapi, atakutajia na kuendeleza yeye ndio wa kwanza katika familia yaoJibu ni= "I am the first born in my family" Swali la jibu hili litakuwaje?