mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,395
Jamani mimi huwaga sielewi, ni kwanini madereva wana common name, yani Suka, utaskia suka simama, huyo ndo suka, na nimeanza kuisikia kitambo sana takribani miaka kumi, sasa wanajamvini embu nisaidieni hasa nini chanzo na chimbuko la hili jina kwa madereva, au ni wanasuka nywele mana sielewi