Habari zenu.
Leo nimeona niwashirikishe yale yaliyomo katika nafsi yangu.
Nitaandika kwa mtindo mgeuzo, yaani sio wa maji kufuata mkondo.
Mtunzi yoyote anaweza kuendeleza.
Shuka nayo--
Njia...
WANA WA MAPOKEO.
1)napohisi kuna jambo,akili inanituma.
Nitunge niache tambo,fani izidi kuvuma.
Wengi wetu tuna mambo,twalea kwa kulalama.
Sisi wana mapokeo,wana huru watuacha.
2)wengine washika...
Hello all! I'm really excited to announce that Language Transfer has released the first 5 tracks of the 100% free and awesome Complete Swahili ( languagetransfer)! There's many more tracks coming...
Wataalamu wa Kiswahili ningependa mnisaidie swali hili;
Andika barua kwa Mhariri wa gazeti la Mwananchi juu ya tatizo la ajira Tanzania, jina lako ni KASHAIJA S.L.P 10. Butiama.
Siyo mbaya hata...
Ufahamu wangu wa wastani wa lugha ya kiingereza na kiswahili umenifanya nione matumizi yasiyo sahihi ya either...or ya kiingereza na neno 'aidha' la kiswahili.
Nimegundua kwamba baadhi ya...
Lugha ya kiarabu,inatofautiana baina ya nchi na nchi,ila iwe wanaongea kiarabu cha kisomi,eweje mtu ambaye hajasoma kiarabu cha kisomi,aseme amewahi kuishi nchi Saudia,halafu aende Oman,aseme...
Pamoja na yote yanayofanyika leo katika ziara ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,nampongeza kwa matumizi ya lugha adhimu ya Kiswahili kilicho safi na sahihi.
Akiwa na...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafari kazi ya mtu mwenye cheo hiki ndani ya CCM ambaye ni Nape Nnauye bila kuelewa?
Kazi yake kubwa ameifanya kupitia mgongo wa CHADEMA, hata mikutano ya CCM...
Habarini wadau wa lugha,
Binafsi ninapata shida sana kuelewa mantiki hasa ya neno tajwa sababu ninaona maneno mawili ndani ya neno moja yenye maana ileile..taarifa ndio habari hiyohiyo.
Hem...
Habari za muda huu wana JF?
Kama kichwa cha uzi inavyojieleza ningependa kushea mawazo yangu katika jukwaa hili kwa kufikirisha mawazo yetu kwa mustakabali wa lugha yetu ya Kiswahili kama lugha...
.........NAONA MSO YAONA...........
Mmenitia upofu, ambao wanishangaza,
Sizioni tena hofu, ambazo zilitatiza,
Sioni pia machafu, moyo yalouchukiza.
Penye kiza kuna kitu, nakiona kina ishi...
Nimekutana na neno ili limeandikwa kwenye Hiece zaidi ya tano Arusha.
Lingine limeandikwa Roho zetu Mafie.
Naomba wanajamvi kwenye uelewa anijuze.karibu
UKIFWATILIA KWA MAKINI MASOMO HAYA YA LUGHA YA KIFARANSA, NA IMANI BAADA YA MDA MDOGO UTAWEZA KUZUNGUMZA KWA UFASAHA, NAOMBA MUNIFAHAMISHE KAMA SOMO HILI LIMEELEWEKA ILI NIWEKE LA PILI, PIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.