City Christian Centre cordially invites Hon/Prof/Dr/Mr/Mrs/Miss...........
L'honneur nous echoit, d'inviter votre haute personnalite a prendre part au lancement d'un culte francophone dans...
Kuna jambo latatiza, leo nikupe maana,
Wahenga walitujuza, kuwa kufa kufaana,
Biashara ya jeneza, jua haina laana.
Hutuombea shufaa, mtengeneza jeneza.
Kabla kifo kutokeza, kulianza kuzaana...
Jana 29/8 nimemsikia AG akisangaa vyama kufanya kitu kinachoitwa 'operation' hivo kunilazimisha kutafuta maana yake kwenye 'google' na nimekuta kama ilivo hapo chini. <operation
Also found in...
Wakuu poleni na kazi!!
Ni hivi hua sielewi maana ya haya maneno!!
Lalamiko!!
Dukuduku!!
Hoja!!
Na maoni!!
Kwa sababu kuna sehemu labda unaweza ukawa unachangia mada!!wale wasimamizi wakakupinga...
Kifaransa kimekuwa na mvuto wa pekee kwenye utumishi wa umma wa kimataifa, bahati mbaya watanzania tumebaki nyuma sana, sababu ya kutokuchangamkia lugha nyingi kama wenzetu wa nchi jirani...
Habari zenu wakuu;
Naomba radhi kwa wale wote walioshindwa kunipigia jana wakati soma la Kifaransa linafundishwa star t.v; inasababishwa na watu wachanche ambao wakipiga simu hawataki kuachia...
za kazi jamani, kuna hili neno ambalo watu wengi tunatumia kama tafsida ya maana kuingiliwa kinyume na maaumbile. TIGO.au 0713.. nafahamu tangu mwanzo kuwa kuna mtandao wa simu ambao asili yake...
Nichezee upate raha,
Kwa ujinga jazie furaha,
Ni binadamu kwako Mi kifaa,
Sote twafa hatuijui saa,
Kwangu umefanya kwako,
Mjinga mkubwa tacheka kifo chako,
Yote Yana mwisho,
Na yako...
Habari wana lugha
Fasihi haitokani na ombwe bali ni matokeo ya uzoefu wa mwandishi..Ni kwa vipi kauli hii imeridhiwa na waandishi wa tamthiliya mbili ulizozisoma..
Naomba kufahamisha Maana Ya...
wataalamu hebu nifafanulieni hapa
binamu ndio nani kwa kiingereza?
na cousin kwa kiswahili?
na niece kwa kiswahili?
nephew kwa kiswahili????????
asanteni.....
Wanabodi wajuzi wa lugha,
Rais anapozungumza na Wazee wa Dar es Salaam, wale wa mazungumzo hayo huwa ni kwa ajili ya Wazee wa Dar es Salaam tuu and Watanzania kwa ujumla?!.
Nimeuliza kufuatia...
Wakuu pokeni na kazi ndo weak and imeanza hivyo!!
Wakuu huku kitaa kuna kijimsemo kimeanzishwa hata sijui mwanzilishi nani!! Yaani kitu kidogo mtu analalamika anasema "huyu jamaa amebana sana"...
Koma mwana nakuasa, dunia hino yatisha,
Koma tena koma hasa, siyapupie maisha,
Koma sicheke garasa, turufu huja na kwisha,
Koma mwanangu koma, koma uishi salama.
Koma kumcheka mamba, mtoni wenda...
Kuna mdada yupo anafanya kazi za nje ya nchi , sasa maelewano yake na mabosi yamekuwa magumu sana ndio kaniomba nimtafutie japo vitabu aweze kujifunza kingereza japo kidogo,
WANDISHI:PAUL BEN MTOBWA.
YEAR:2016
CONTACT:0676-310625
Haki zote zimehifadhiwa hairusiwi kuiga,kunakili au kutumia riwaya hii fupi kwa njia yoyote bila idhini ya heko publishers.
ISNBN...
Wakati huo john alikuwa amezidisha ile tabia ya ulevi uliopindukia.wazazi wake kwa kutaka kuepukana na aibu hiyo wakamshawishi aoe kwa matumaini kuwa pepo mbaya aliemkumba mwanao angeondoka baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.