PRE-FORM ONE FRENCH CLASSES

Paragons

Member
May 3, 2016
60
46
Habari zenu wana JF

Naomba niwakumbushe kwamba kuanzia wiki ijayo, tutaanza Darasa la KIFARANSA – Pre-form one. Tumejipanga kumfundisha kijana kwa myezi hii mitatu, aweze kuzungumza kana kwamba amezaliwa ufaransa; Tunajivunia kuwa na mwl wa KIFARANSA mwenye sifa za kimataifa. Tunapatikana Dar es salaam – MWENGE; I.T.V – NAKIETE HOUSE. Au tupigie simu 0673225148 au 0753225148.

Merci!
 
Wow! nimetafuta mwl wa french muda mefu sana; cost zenu zikoje?
na wakubwa munafundisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom