tukubaliane kimsingi mkuu..wasukuma wote kiengereza chao ni cha mashaka hasa Pronounciation yao ni kichefuchefu kabisa..Hivi Mbona ukabila unakua sana HAPA Jf, nyuzi za kipumbavu kama Hizi moderators ndizo wanaziacha, za kuelimisha zinaondolewa.
Daa!! Mkuu sijui unawafahamu Wasukuma wangapi mpaka unahitimisha hivyo.tukubaliane kimsingi mkuu..wasukuma wote kiengereza chao ni cha mashaka hasa Pronounciation yao ni kichefuchefu kabisa..
K**ma nhocotukubaliane kimsingi mkuu..wasukuma wote kiengereza chao ni cha mashaka hasa Pronounciation yao ni kichefuchefu kabisa..
kuwa jasiri andika ueleweke hili sio jukwaa la mafumbo kuwa huru jombaaK**ma nhoco
Kuna kazee kasukuma kalikuwa kanatukana kwa namna ya aina yake mtaani kwetu.K**ma nhoco
Umeshanielewa nadhanikuwa jasiri andika ueleweke hili sio jukwaa la mafumbo kuwa huru jombaa
sijakuelewa hata kidogoUmeshanielewa nadhani
Icho kitakusaidia kuowa wake hata 6[emoji384] [emoji385] hizo sahauNyie mnaringia hiro riengrish mimi najua kisukuma kinyeramba kingoni kiyaha na ware watani zangu wazaramo
Najua rugha miambiri ishirini na mbiri
Msinijaribu