Salaam jf.
Naombeni nitafsiliwe maneno haya jamani kwa kiswahili manake nimekukuruka wee! mpaka basi Nimemaliza dictionary zote hadi Universal Dictionary
"I discourage a cult of personality"
Haya wakali wa lugha njoeni hapa mnipe maana halisi ya neno Binuru
Nafahamu mtu akikwambia Alamsiki utaitikia binuru, sasa neno "binuru " lina maana gani??
Mara nyingi kwenye maongezi yetu mitaani huwa tunaongeza neno "Ga" ili kuonesha kuwa sentesi husika inamaanisha wakati uliopita. Kwa mfano "unakulaga" "anakujaga" "ninasemaga" na mengine mengi tu...
KOMBE LA HARUSI.
1)Mashallah tumeshaoa,ndio kauli ya kwetu.
Mke mmetupatia,hiyo ni furaha yetu.
Ndoa imeshatimia,lileteni kombe letu.
Hilo kombe la harusi,leteni sote tulile.
2)kwanza...
wadau wa lugha, naomba kujuzwa tafsiri sahihi ya neno 'aga'.kwani mimi nahs neno ninalotumia lina mapungufu.nimekuwa natumia neno 'to wipe'. je hakuna neno jingine mbadala.asante
Siajwahi kuwa mdau sana wa hili jukwaa ila naanza kuona umuhimu wa kuanza kulitumia, maana kuna maneno mengi ya lugha ya kiswahili huwa yananipiga chenga kumbe ningeweza kupata msaada humu, nini...
Leo nimejiuliza sana nikatafakari ila sijapata jibu kuhusu hii kitu. Hivi 'Photo' na 'Picture' ina maana sawa au ni tofauti? Kama ni tofauti naomba kuelimishwa.
Asante.
Naomba kusaidiwa kufafanuliwa hii sentesi ambayo mheshimiwa prezdent ameisema je alikua anawaambia akina nani???
"Fanyeni kazi, tetemeko halijaletwa na ccm".
Naomba usaidizi kule nitakapo pata maneno yote ya Kiswahili niweke kwenye kamusi ya keyboard ya rununu iwache kushinda ikibadili maneno ninapoandika kwa kisawahili.
Habari za Jumapili ndugu zangu, awali ya yote nitoe pole nyingi sana kwa ndugu zetu wa Mkoa wa Kagera na mikoa ya jirani waliopatwa na janga la tetemeko la ardhi lililogharimu maisha ya watu...
1:Mlilala handingwa handingwa mwenye macho haambiwi tule
2: Pema usijapo pema ukipema si pema tena
3:Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
4:Oteo ulisemaje, nipe nikupe
5:Ganda la muwa la...
Habari wana jamvi.
Ni jambo la kuvutia sana pale unapomsalimu mtu kwa lugha yake ya asili hasa unapoenda vijijini kwa sisi watafutaji.
Lengo la uzi huu ni kufundishana salamu za makabila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.