TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Hakifundishiki [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbona kizaramo hatukufundishwa?
Hiyo inakuja automatically.Nifundishe jinsi ya kutongoza
Kabla haiwezekani?Hiyo inakuja automatically.
Duuuuuuh!jamaa ameharibu lugha ya watu
Dodoma nimekaa miaka 7 na naifahanmu hiyo lugha lakini jamaa amekosea mbaya
kifupi ameharibu lugha ya watu bila shaka wenyewe watakuja kurekebisha
jamaa ameharibu lugha ya watu
Dodoma nimekaa miaka 7 na naifahanmu hiyo lugha lakini jamaa amekosea mbaya
kifupi ameharibu lugha ya watu bila shaka wenyewe watakuja kurekebisha
Katumia Google translateDuuuuuuh!
Kwahiyo jamaa katulisha tango pori?
Nilivyokazana kusoma sasa...[emoji24]
[emoji134][emoji134][emoji134]Katumia Google translate
Mkuu hebu turekebishie alipokosea. labda katumia google translate hahaajamaa ameharibu lugha ya watu
Dodoma nimekaa miaka 7 na naifahanmu hiyo lugha lakini jamaa amekosea mbaya
kifupi ameharibu lugha ya watu bila shaka wenyewe watakuja kurekebisha