wataalamu wa lugha natumai hamjambo. Naombeni ufafanuzi katika hili kwanini sehemu zinapouzwa ndizi karibu Tanzania nzima zinaitwa Mahakama ya ndizi....mfano
mahakama ya ndizi Morogoro
mahakama ya ndizi Mabibo dsm
mahakama ya ndizi kijijini Mbingu
Nafikiri ni jina tu kama ulivyo ainisha hapo juu kuwa eno husika limekuwa maarufu kwa kuuzwa bidhaa hiyo moja kwa moja kwa mlaji. Vivyo hivyo pale Vingunguti panajulikana kama mahakama ya mbuzi kwakuwa ni eneo maarufu kwa uzwaji wa bidha hiyo moja kwa moja kwa mlaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.