GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 218
Habari za mchana wanaJF
Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze,
Naanza Mimi
Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè
Kisw;Nchi yangu nzuri inaitwa Tanzania
Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze,
Naanza Mimi
Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè
Kisw;Nchi yangu nzuri inaitwa Tanzania