Jukwaa la Historia

On JF:

MASAHIHISHO YA HISTORIA YA MAULID HASSAN Kizito Mpangala Si kweli Aliyemficha Mwalimu Nyerere ameshafariki alikuwa baba yake Maulid Hassan alifahamika kama HASSAN MANGUNYUKA. Huyu Maulid...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
KUELEKEA KUADHIMISHA UHURU WA TANGANYIKA SEHEMU YA PILI: KUSOMESHA HISTORIA BILA KHIYANA Nina wajibu wa kusomesha historia ya uhuru wa Tanganyika kwani wengi hawaifahamu. Nimekuwa nikisomesha...
1 Reactions
2 Replies
620 Views
Klipu ya Televisheni miaka 31 iliyopita , mvulana huyu ni Macron, Rais wa sasa wa Ufaransa 🇫🇷, na dancer na Mwalimu wake, ndiye mke wake wa sasa.Wamepishana miaka 24.
4 Reactions
4 Replies
885 Views
Jina ni Dora Bloch na siyo Dora Block kama ilivyoandikwa katika kichwa cha habari hapo juu. Na: Mwalimu Makoba Mapema tarehe 28 mwezi Juni mwaka 1976, ndege ya Air France ilitekwa na kikundi cha...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
LEILA SHEIKH NA UTAFITI WA HISTORIA YA BIBI TITI Ilikuwa ni katika miaka ya 1980 ndipo nilipofahamiana na Leila Sheikh mwanadada kutoka Tanga. Siku hizo ndiyo kwanza alikuwa katoka masomoni...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
BIBI TITI MOHAMED NA HISTORIA YA UWANJA WA MNAZI MMOJA 1950s Katika uwanja huu mwaka wa 1949 walikusanyika makuli wa Bandari ya Dar-es-Salaam wanachama wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union...
2 Reactions
0 Replies
686 Views
BIBI TITI FESTIVAL IKWIRIRI RUFIJI: MLANGO ALIOFUNGUA BIBI TITI UMEPITWA NA WANAWAKE IDADI YAO HAINA HESABU Aliyepewa hapokonyeki. Bibi Titi kawika alipokuwa hai. Bibi Titi anawika akiwa...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE" Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius...
2 Reactions
0 Replies
784 Views
HISTORIA FUPI YA BIBI TITI NILIYOZUNGUMZA UWANJA WA UJAMAA KATIKA KILELE CHA BIBI TITI FESTIVAL Nilifungua kwa kusema kuwa Bibi Titi hana mfanowe. Rufiji ina historia ya pekee katika kupigania...
2 Reactions
3 Replies
870 Views
UTABIRI WA BIBI TITI MOHAMED: HISTORIA YA UHURU ITAANDIKWA NA WATU AMBAO HATA HAMTAWATEGEMEA Bibi Titi alipata kumwambia mjukuu wake Omari Mzee Kitenge kuwa historia yake itakuja kuandikwa hata...
1 Reactions
4 Replies
679 Views
https://youtu.be/m6XH4SGWjDk Ilikuwa wakati Nyerere yuko Musoma ndipo John Hatch kutoka Chama cha Labour cha Uingereza alipokuja Tanganyika kama mgeni wa TANU. TANU ilifanya mkutano mkubwa sana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
DULLY SYKES Hukaa nikarudi nyuma sana katika fikra. Ilikuwa mwaka wa 1968 mimi na Ebby Sykes tumekaa kwenye kibaraza cha nyumba moja Mtaa wa Mchikichi na Livingstone. Ebby alikuwa ndiyo kafiwa...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii ndiyo dini inayotufaa kwa sasa kama hawa hapa chini walianzisha dini zao za kikristu chini ya yesu ndani ya ulaya sasa na sisi WAAFRIKA tuanzishe zetu ndani ya AFRIKA. Mimi ninaanzisha hii...
2 Reactions
15 Replies
806 Views
MAMA NA MWANA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Huenda historia ya Bi. Mwamtoro bint Chuma na mwanae Haydar Mwinyimvua ikawa ndiyo historia ya pekee ya mama na mwana wote wawili na kwa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Picha hiyo hapo chini kaiweka Emmanuel "Jenkins" Muganda. Nimemwandikia maneno haya: Jenkins, Hapo mna historia ya uhuru wa Tanganyika ya kuandikwa kwa wino wa dhahabu. Kwanza Chief Edward...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
INTERESTING HISTORIES INTERESTING STORIES Kuna mtu kaniandikia anatafuta kazi imshughulishe kaniomba msaada. Nimemwandikia hayo hapo chini na nimeweka hapa ili mwingine yeyote atakae shughuli ya...
1 Reactions
4 Replies
580 Views
SAFARI YA KWANZA UNO 1955 MWALIMU NYERERE ALISAFIRI BILA YA KUPATA CHANJO Abdul Sykes anamwambia mdogo wake Abbas, ''Nyerere anasafiri kwenda UNO na lazima adungwe sindano (vaccination). Mimi...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
MAJI DEBE MOJA NA MZEGA https://youtu.be/_eRr2funuhI?si=jZorzuT9WHWRpO5o
0 Reactions
0 Replies
428 Views
KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review,"...
12 Reactions
66 Replies
7K Views
Back
Top Bottom