Masahihisho: Historia ya Maulid Hassan na Julius Nyerere Namtumbo 1955

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,265
MASAHIHISHO YA HISTORIA YA MAULID HASSAN

Kizito Mpangala
Si kweli

Aliyemficha Mwalimu Nyerere ameshafariki alikuwa baba yake Maulid Hassan alifahamika kama HASSAN MANGUNYUKA.

Huyu Maulid alikuwa kijana mdogo enzi hizo.

Ijapokuwa historia haisemi wazi Mwalimu Nyerere alisaidiwa na familia ya Wahindi walijulikana kama HASSANALI DINANI BROTHERS.

HASSANALI DINANI BROTHERS waliongoza vijana kukata matawi ya miti na kulificha gari la Mwalimu Nyerere.
 
Back
Top Bottom