Jukwaa la Historia

On JF:

Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli. Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia...
3 Reactions
186 Replies
9K Views
MTAA WA MWALIMU KIHERE TANGA Mwenye historia ya Mwalimu Kihere atuwekee hapa. ''Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika haikuwa na jingine isipokuwa kumuomba Idd Faiz Mafungo asafiri kwenda Tanga na...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Historia ya Osama bin Laden ni moja ya vyanzo vikubwa vya utata na machungu katika historia ya kimataifa, hasa kutokana na kiongozi huyo kuwa mwanzilishi na kiongozi wa kundi la kigaidi la...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
KICHWA KIMEHIFADHI MENGI LAKINI NINI SABABU IONDOE AJABU? Kuna wakati naogopa kusema nikihofia watu watasema huyu Mohamed Said ni muongo inawezekanaje yeye amjue kila mtu tena anaweza akasema...
2 Reactions
2 Replies
651 Views
Mzungu wa kwanza kukanyaga Bukoba alikuwa ni Mjerumani Emin Pasha aliyewasili tarehe 31 Oktoba, 1890, ingawa miaka 30 kabla ya hapo Waingereza wawili, T.H. Speke na T.A Grant waliwahi kufika...
0 Reactions
387 Replies
124K Views
Unamfahamu Shariff Abdallah Attas (pichani)? Mzee Attas aliishi mtaa wa Twiga na Sikukuu nyumba yake ikiwa mkabala na Msikiti wa Shadhili, jijini Dar es Salaam. Katika miaka ya 1950 mzee Attas...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Dini ya urasta ilianzishwa miaka ya 1920 na 1930 huko maeneo ya visiwa vya Caribbean. Mwanzilishi wa imani hii ni Marcus Garvey aliezaliwa mwaka 1887 na kufariki dunia mwaka 1940. Marasta...
19 Reactions
51 Replies
23K Views
MAKTABA NDANI YA KIBATARI CHA MCHINA Inawezekana kabisa kuwa katika wasomaji wangu wakawepo ambao hawajasikia neno, "kibatari," wala hawajakiona kibatari. Nilipata kuwahadithia wanangu kuku...
5 Reactions
6 Replies
746 Views
https://youtu.be/EGlJS8PwzoA BIBI TITI MEMORIAL FESTIVAL IKWIRIRI RUFIJI 27 NOVEMBER - 2 DECEMBER 2023 DONDOO KATIKA MAISHA YA BIBI TITI Msukumo mkubwa nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
https://youtu.be/0H_o0ZDg7Wg Aisha "Daisy" Sykes mtoto wa kwanza wa Abdul Sykes anasema akiwa msichana mdogo alishuhudia pirikapirika zote nyumbani kwao akimuona Bibi Titi, Bi Hawa bint Maftah...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
https://youtu.be/EGlJS8PwzoA DONDOO KATIKA MAISHA YA BIBI TITI Msukumo mkubwa nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya nchi nzima kuwashinikiza Waingereza wamwachie huru Kenyatta aliyekuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA. BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam. Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote. . Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka...
10 Reactions
111 Replies
5K Views
Picha: Nakala ya kitabu kilichoandikwa na Profesa Aili Mari Tripp kuhusu maisha ya Joan Wickens na uhusiano wake na Joan Wickens. Kitabu hicho kimechapwa na kampuni ya Mkuki na Nyota Na Ahmed...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
HII NDIO HISTORIA YA FAMILIA YA SYKES. Historia hii inaanzia kwa MZEE SYKES MBUWANE KLEIST. Huyu ndiye baba yake KLEIST SYKES. MZEE SYKES MBUWANE KLEIST ni nani? Sykes Mbuwane ni mamluki wa...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Miaka mingi imeshapita lakini ningali nikikumbuka bara bara! Tulipokuwa "High School", kwenye moja ya somo la Historia, Mwalimu wetu alituambia kuwa waliokijenga Chuo Kikuu cha Makerere ni...
1 Reactions
2 Replies
762 Views
HUYU NI EMMANUEL MUGANDA WA VoA Leo nimetembelewa na Emmanuel "Jenkins", Mganda ambaye hatujaonana toka miaka ya mwishoni 1968 alipoondoka Tanzania kwenda kusoma Marekani. Leo kanitembelea...
13 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda. Kwangu ilikuwa furaha kubwa. Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Ninasoma Kitabu hiki cha Mzee Mohamed Said kuhusu Waislam kutengwa katika Historia rasmi ya wapigania uhuru. Hapa chini nimeweka nukuu kutoka kitabu cha Maisha ya Abdulwahid Sykes ambacho...
0 Reactions
8 Replies
961 Views
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=pfbid0Yf5NxNnZ1K5v9rSmxbeebpyosph5MfRwrBbuJWXt2znjrkvrcQ5yAa83L5B46T7bl&id=100022121633704&mibextid=Nif5oz DAMU CHANGA KATIKA VUGUVUGU LA KUPIGANIA...
2 Reactions
0 Replies
460 Views
MAGHRIB MOJA MSIKITI WA MWEMBECHAI NYUMA YA SHEIKH PONDA 1998 Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai. Msikiti...
1 Reactions
4 Replies
820 Views
Back
Top Bottom