Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa . binafs...
3 Reactions
153 Replies
18K Views
Wana jamvi habari I za wakati huu na amini wote wazima munazidi kupambana vyema na janga la COVID19 inayo sababibishwa na kundi la VIRUS'S aina ya CORONA. Kama kichwa kinavo jieleza apoo juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samaleko. Natumaini ni wazima wa afya kabisa, ukiachilia mbali vitabu vya mashuleni kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu, katika maisha yangu sijawahi kusomaga somaga vitabu vya riwaya aidha za...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nakumbuka nilifaulu la saba kwenda Azania lakini Mzee akakomaa kunipeleka Makongo Sec. Enzi hizo mkuu wa shule ni kanali mstaafu Idd Omar Kipingu, aisee Ile shule (enzi hizo) ilikua balaa. Kulikua...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau naomba kujua taarifa kuhusu hiki chuo kinachotoa online study scholarships na kama kuna mtu amewahi some kupitia chuo hiki anipe dondoo maana nimeomba masters degree in business...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilisikia kuhusu kitabu hicho miaka michache iliyopita, na kwamba ni kitabu kilichoandikwa Marekani,USA. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze wana JF na kinapatikana wapi. Mimi binafsi nakitafuta...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
THE EXAM IS FOR SHANGWE. EWE KIDATO CHA SITA FANYA AU YATAFAKARI HAYA YAFUATAYO 1. Usiwaze /kubweteka eti tutapitishwa ko wengi tutafaulu. Kumbuka mkono mtupu haulambwi. 2. Usitumie muda mwingi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapi ntapata Vifaa vya maabara kwa bei nafuu kwa Dar? Wakuu ni wapi naweza kupata chemicals za maabara ya Secondary physics na Chemistry kwa bei nzuri hasa maduka ya wahindi hapa Dar? Shule ipo...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
1. College 2. Institute 3. University 4. School Nataka kujua kikukbwa hapo ni kipi, na nini kigezo cha kila moja kupewa jina lake, wanaangalia nini hasa?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chuo gani hapa Tanzania ntapata kusoma Postgraduate ya masuala ya Policy? Msaada please
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Nina mtoto wa kaka yangu ambae kaka yangu ashakuwa marehem mda mrefu. Kijana huyu anaufauru mzuri form four. Biology...C Chemistry...C Mathematics...F History...B Kiswahili...B Civics...C...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna shule moja iko Mbeya, wilaya ya Rungwe ( jina linahifadhiwa), ni private school. Kutokana na janga la corona shule zote ilitakiwa kufungwa, sasa mkuu wa shule hiyo aliamua kutowaruhusu...
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Vision To have competent Health Information personnel who will provide health information services effectively at different health training and care settings to cope with the existing and emerging...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumaini mpo vizuri wakuu, Naomba kuuliza ofisi za NACTE ziko sehemu gani hapa mkoani Mbeya? Msaada please mimi ni mgeni mkoani hapa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, natafuta mtu anayeweza kufundisha masomo ya Arts ili tuweze kufungua Tuition Centre. Mtu huyo awe anakaa Tabata, pia awe jobless. Nimeshafanikisha mpango huo wa kituo kwa 70% hivyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wenu, Matokeo yangu ya form four ni Kama ifuatavyo Civics=C Kiswahii=C EDK=C History=D Geography=D Biology=D English=D Chemistry=F Physics=F Maths=F Je? Ninaweza kujiunga na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Viva JF Nikiwa sijui kinachoendelea kwenye kwenye mitihani ya kidato cha nne iliyoanza hii wiki, nikawa nawasiliana na dogo mmoja finalist ananiambia wametangaziwa kuruhusiwa kuingia kwenye...
3 Reactions
60 Replies
12K Views
Naomba anaejua Center nzuri inayofundisha Review ya Accounting Technician-Level II hasa kwa somo la Principles of Accounting and Auditing(T05) anifahamishe. Naomba Centre hiyo iwe Dar es Salaam na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
CALCULUS: DERIVATION OF THE LAPLACE EQUATION IN SPHERICAL COORDINATES Derivation of Laplace Equation in Spherical Coordinates is a challenging task, not that it is difficult but rather; the list...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hlw guys, naomba kwa mwenye vitabu vya adnce science softcopies anitumie please (PCM/PCB) Chochote ktk hivyo hasa chand 1 ya phz. Email.binbond300@gmail.com
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom