Vitabu gani vya lugha ya kiswahili unanishauri nisome vinavyoweza nipa maarifa katika nyanja za kiuchumi, kimapenzi & Siasa

Gai da seboga

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
480
968
Samaleko.

Natumaini ni wazima wa afya kabisa, ukiachilia mbali vitabu vya mashuleni kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu, katika maisha yangu sijawahi kusomaga somaga vitabu vya riwaya aidha za kiuchumi, kisiasa wala ata za kimapenzi za gwiji km shabani Robert. Hivyo nimeona walau nianze kadesturi ka kusoma soma vitabu angalau nipate mbili tatu hivi.

Unanishauri nisome vitabu gani ambavyo unaamin vitanipa maarifa na vinaweza badilisha mfumo wangu wa maisha ila hivyo vitabu viwe katika lugha ya KISWAHILI. Natamani kusoma vitabu hivyo vilivyoandikwa mambo ya uchumi, Siasa na Mapenzi.

NYONGEZA: kama unaweza kuwa na softcopy ya kitabu hicho pia unaweza niwekea hapa.

Wasalam.
 
Kamlete akibisha mlipue by Hammie Rajabu.Humo ndani star haogi wala habadilishi nguo toka sura ya kwanza mpaka ya mwisho .Mikono na vitasa moto vingi mnoo.
 
Back
Top Bottom