College ni chuo cha kati ambacho kime specialized kutoa mafunzo ya aina moja ya taaluma mfano vyuo vya ualimu vya diploma na cheti,VETA ufundi,CBE elimu ya biashara, University ni chuo cha elimu ya juu ambacho hutoa mafunzo\taaluma tofauti tofauti mfano UDSM hutoa taaluma kwa madaktari,walimu,wahandisi nk, institute ni sehemu ya kutoa mafunzo ambayo inakuwa chini ya taasisi fulani mfano BOT wana institute zao ambazo hutoa mafunzo yanayohusiana na masuala ya BOT mfano kuna BOT institute iliyo mwanza na sehemu nyingine, huo ndio uelewa wangu umeishia hapo inaweza kukoselewa vile vile .
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Kwa mawazo yangu VETA inaweza kuwa Institute kwa kuwa iko chini ya Nacte na Nacte sio wizara bali ni taasisi lakini vile vile yaweza kuwa college kwa kuwa inatoa elimu ya kati inayohusiana na ufundi stadi.Ahsante ila hapo kwenye VETA.... nayo ni College?
Kwa mawazo yangu VETA inaweza kuwa Institute kwa kuwa iko chini ya Nacte na Nacte sio wizara bali ni taasisi lakini vile vile yaweza kuwa college kwa kuwa inatoa elimu ya kati inayohusiana na ufundi stadi.
OK sawa,kwa mtazamo wako itakuwa category ipi kati ya hizo mbili au haihusiani na category zote mbili!?Mkuu VETA haipo chini ya NACTE wala TCU... VETA ni mamlaka ya Ufundi! Ukianzisha Chuo chako cha ufundi utapaswa ukakisajili VETA. Na huko kuna taaluma za Ufundi lukuki. Ila tu nnachofahamu wenyewe VETA walijiongeza wakaanzisha Chuo cha Utalii (VETA NJIRO) na huko wanatoa Diploma ambazo wamezisajili NACTE!