Droupouts wa vyuo tukutane hapa

Dropout

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
642
530
wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa .
binafs nmedropout Udom mwakajana mwez wa 12 ....
3%20year%20all%20courses%20notes%F0%9F%94%9C%2020191016_085517.jpeg
 
japo mm nina malengo ya kuleta mabadiliko makubwa sana kwenye suala la viwanda kwa kufungua kiwanda na kutrain special force skills kwa watu ambao hata awana degree na hatimaye kufanya watu waone umuhim wa kuwa na skills sio kujaziana vyeti kipuuuzi tu.
 
Hiyo riba mbona ni kubwa sana....una mamlaka gani ya kutoza riba kubwa namna hiyo..hata lending institutions na microfinance facilities hazina hiyo riba...kweli umeamua kuchuma pesa...chuma utakavyo mkuu kila lakheri
ni makubaliano japo unanitisha
 
Back
Top Bottom