Msaada wa CPA review class-Technician level II

omoghaka

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
293
166
Naomba anaejua Center nzuri inayofundisha Review ya Accounting Technician-Level II hasa kwa somo la Principles of Accounting and Auditing(T05) anifahamishe. Naomba Centre hiyo iwe Dar es Salaam na aniambie wanaanza lini kufundisha.Nataka nianze mchakamchaka wa kuikamata CPA(T).

Naomba sana tena sana msaada wenu tafadhali. Naomba nipatiwe na gharama za masomo kama itawezekana.
 
Nenda pale Mtaa wa Lumumba,Kuna center Iko vizuri sana,ndio inaongozaga Mitihani kwa level zote,Inaitwa KAS INFORMATICS LTD,Au google utajua location,na contacts zao,usiwe mvivu..http://kasinformatics.blogspot.com/
 
Si bora uingie youtube mkuu hiyo pesa ya twisheni bora uitumie kwenye mambo ya. Msingi
 
Mkuu kwanini usijisomee mwenyewe

Kujisomea sawa.
Kupata mwongozo wa Mwalimu na kujibu maswali yako papo kwa papo inapunguza workload na kufanya uelewe kwa haraka hasa ukizingatia sina mpango wa kukamatwa somo lolote mpaka nimalize CPA(T).
 
Si bora uingie youtube mkuu hiyo pesa ya twisheni bora uitumie kwenye mambo ya. Msingi

You tube unaweza kupoteza miaka Mitano kwa kitu cha kukamilisha kwa Miaka Miwili.
Ukitumia Pesa unatengeneza mazingira na unachangamsha ubongo uweze kufikiri kwa haraka jinsi ya kupata Pesa.
Sioni tatizo kubwa kwenye Matumizi ya Fedha kwa kitu chenye Manufaa.
Kimsingi nahitaji Centre nzuri.Kama unajua njyingine tofauti na KAS Informatics,tafadhali nijuze.
 
Back
Top Bottom