Naombeni ushauri

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
704
813
Nina mtoto wa kaka yangu ambae kaka yangu ashakuwa marehem mda mrefu. Kijana huyu anaufauru mzuri form four.
Biology...C
Chemistry...C
Mathematics...F
History...B
Kiswahili...B
Civics...C
Physics...F
English...C alipata division two form four

Akafaulu kwenda advance mchepuo wa HGL na kidato cha sita akapata division three baada ya hapo akafanikiwa kupata chuo kusoma ualimu kazi ya degree ktk chuo binafsi changamoto ikaja ada ilikuwa kubwa nikashidwa kumlipia ada maana alikosa kabisa mkopo.

Sasa nimeona niombe ushauri kwenu nimsaidie vipi mtoto wa ndugu yangu. Yeye anasema kaka nipo tayari ata kusoma ualimu wa diploma naomba nitafutie chuo cha serikali ambacho ada ndogo nisome.

Nimeona ninawajibu kwa hyu mtoto wa ndugu yangu naomba kuuliza je anaweza pata chuo cha serikali cha ualimu ngazi ya diploma kwa ufaulu huo wa form four naona atumie cheti cha form four ili akipata afundishe masomo ya chemistry na biology ili apate ajira huko mbeleni naomba ushauri anaweza pata chuo cha serikali cha bei ndogo na akasoma masomo ayo ya sayansi ili aje apate ajira yake maana biology na chemistry ni masomo ya sayansi.

Naomba ushauri tafadhari.
 
The Open University Of Tanzania
Ajaribu hapo. Wana elimu kuanzia ngazi ya nne mpaka ya mwisho (kumi).
 
Back
Top Bottom