Tuliopitia shule za jeshi tukutane hapa

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Nakumbuka nilifaulu la saba kwenda Azania lakini Mzee akakomaa kunipeleka Makongo Sec. Enzi hizo mkuu wa shule ni kanali mstaafu Idd Omar Kipingu, aisee Ile shule (enzi hizo) ilikua balaa. Kulikua na watu wawili, babu cha-cha na marehemu Miraji.

Nitarudi
 
Kaboya S/Msingi ipo wilaya ya MULEBA huko KAGERA. 😂😂😂 Ilikuwa noma wale wajeda, utapigwa ufe japo ilitujenga. Wakisema Mguu pande! Hakuna kuangusha maembe Ni kishindo kimoja tu kuanzia la Kwanza Hadi la 7. Ilikuwa shule Tamu Sana full ukakamavu na kitabu kwa Sana.
 
Ni kweli, alipata ajali kwenye lile gari lake wakati anaenda Moro. Mwili uliletwa hadi shuleni kuagwa
Mzee Miraji alifariki mwaka 2006
Ila babu Chacha Sijui yuko wapi

Nitarudi
 
Naipata Ile shule mkuu
Kaboya S/Msingi ipo wilaya ya MULEBA huko KAGERA. Ilikuwa noma wale wajeda, utapigwa ufe japo ilitujenga. Wakisema Mguu pande! Hakuna kuangusha maembe Ni kishindo kimoja tu kuanzia la Kwanza Hadi la 7. Ilikuwa shule Tamu Sana full ukakamavu na kitabu kwa Sana.
 
Yaani wakati wa kutoka pale getini.mkitoka kama kuku kazi mnayo..
Mna bidi mtoke kama siafu mstari mmoja.
Makosa wakifanya wachache mna pigishwa push up wote..
Asubuhi kufagia kama shule ya msingi.
Mkikaa mstarini anaweza akapita afande nyuma yenu.
Akasema kwa sauti kumwambia afande wa mbele kuwa wale wanafunzi wa nyuma wana mtu kana.
Hapo hapo mtaambiwa mkunje ngumi mpige push ups.
nikajiulize hapa nipo chuo cha umeme au depo la umeme.?.
Nikasepa zangu.
Na uzuri uwa hawamtafuti mtu.
 
😂😂😂Uliachia Level I ukakimbia depo au uliogopa mziki wa TD. Kwa jeshi Ni kawaida Sana kwa huo mtindo wa kumsingizia afande kuwa ametukanwa. Kwa walopitia JKT utasikia,
Babaa haya yanasema mwili wako wote Ni sukari yatakulambalamba au utasikia Mike wanasema wewe hujasoma na haujui kupigisha doso baba. Baada ya hizo kauli mbona uwanja unageuka vumbi
 
Mwaka wa kwanza tu.
Nikakimbia.
Kuna siku nilichelewa nafika pale getini naona wenzangu kwa ndani wanaruka kichura chura na push up.
Nikasema hapa nikiingia tu nimeisha.
Nikanyoosha moja kwa moja hadi mwenge stend nikachukua gari nikarudi home sikwenda tenaa.
haikunisumbua sababu nilikuwa najisomesha mwenyewe.
Ningekaza ningekuwa fundi umeme.
Ila idea ya umeme ninayo.
Si haba.
Uliachia Level I ukakimbia depo au uliogopa mziki wa TD. Kwa jeshi Ni kawaida Sana kwa huo mtindo wa kumsingizia afande kuwa ametukanwa. Kwa walopitia JKT utasikia,
Babaa haya yanasema mwili wako wote Ni sukari yatakulambalamba au utasikia Mike wanasema wewe hujasoma na haujui kupigisha doso baba. Baada ya hizo kauli mbona uwanja unageuka vumbi
 
Uliachia Level I ukakimbia depo au uliogopa mziki wa TD. Kwa jeshi Ni kawaida Sana kwa huo mtindo wa kumsingizia afande kuwa ametukanwa. Kwa walopitia JKT utasikia,
Babaa haya yanasema mwili wako wote Ni sukari yatakulambalamba au utasikia Mike wanasema wewe hujasoma na haujui kupigisha doso baba. Baada ya hizo kauli mbona uwanja unageuka vumbi
Elimu elimu.
 
Hahaha kama nawaona vile ndani ya goose march, lazima ukate shingo kushoto au kulia kutoa heshima
Pale ndo nimepigia pindi, wajeda walitupeleka mbio hata ukiangusha pesa master parade itatangazwa maana walizuia wizi shuleni. Shule tamu Sana ile, kupiga paredi Ni muda wowote ule. Tukibeba fyekeo kurudisha kambini baada ya usafi tunayaweka begani Kama silaha tunaanza goose match
 
Baba yamekutukuna huku yanasema we sukari, Baba yanasema unajiraaa
Uliachia Level I ukakimbia depo au uliogopa mziki wa TD. Kwa jeshi Ni kawaida Sana kwa huo mtindo wa kumsingizia afande kuwa ametukanwa. Kwa walopitia JKT utasikia,
Babaa haya yanasema mwili wako wote Ni sukari yatakulambalamba au utasikia Mike wanasema wewe hujasoma na haujui kupigisha doso baba. Baada ya hizo kauli mbona uwanja unageuka vumbi
 
Mmenikumbusha jitegemee jkt high School,AFANDE ALANDO,AFANDE KUMALIGA,AFANDE MKISI aisee hatar hawa jamaa usiombe ukaingia kumi na nane zao utajuta kuzaliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom