Secret genius
Member
- May 3, 2020
- 56
- 36
Kuna shule moja iko Mbeya, wilaya ya Rungwe ( jina linahifadhiwa), ni private school.
Kutokana na janga la corona shule zote ilitakiwa kufungwa, sasa mkuu wa shule hiyo aliamua kutowaruhusu walimu wake kutofunga shule na pia walimu wote wanatakiwa wawepo katika zamu zao kama ilivyopangwa. Je, ni sahihi walimu hawa kufanyiwa hivi?