Msaada: Ninaweza kujiunga na kidato cha tano shule ya private kwa matokeo haya

Tsal hmz

New Member
May 27, 2020
3
0
Wakuu naomba msaada wenu,

Matokeo yangu ya form four ni Kama ifuatavyo
Civics=C
Kiswahii=C
EDK=C
History=D
Geography=D
Biology=D
English=D
Chemistry=F
Physics=F
Maths=F
Je? Ninaweza kujiunga na kidato cha tano shule ya private 2020 nahitaji msaada wenu
 
Back
Top Bottom