Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Naomba msaada Kwa anaejua faida za kusoma Kwa mfumo wa Cambridge.
Na shule za A level zinazofundisha Kwa mfumo wa Cambridge.
Na matokeo yake naweza...
Wakuu naomba kama kuna mwalimu yeyote au mtu yeyote mwenye notes za masomo yote kuanzia ngazi ya primary hadi advanced level zilizo na maelezo mafupi na mazuri kwa mahitaji ya wanafunzi ili...
Sote tunafahamu kwamba VETA ni sehemu sahihi ya watu kuendeleza au kuibua vipaji vyao katika fani mbalimbali.
Ni bahati mbaya sana VETA haipewi kipaumbele kiasi kwamba vyuo vingi havinauwezo wa...
Wadau habarini za asubuhi. Nimeicopy hii kule tweeter.
Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika...
Wandugu naona UDSM wameanzisha hiyo program hapo, naomba kama kuna mtu ameishaisoma au anasoma atupe uzoefu kwa maana ya ubora wake na kama jamaa bado wana usumbufu kama wa thesis
Nawasilisha
Walimu wenzangu na wadau wote wa elimu mliomo humu naomba mnisaidie notes za english medium primary schools au kama kuna mtu anaweza kunipa link.
natanguliza asante
Jamani natumai mu wazima.
Niende moja kwa moja anayejua app nzuri ya kupata notes za primary tz English medium schools anisaidie.
NB: thl nimetumia ila imenishinda kitu kidogo so anaeweza...
Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!
Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Ndugu zangu naombeni mawazo yenu, nisome diploma ipi Kati ya hizi. Nina vigezo vyote vya kujiunga na hizi kozi.
Mimi nataka kozi itakayo nipa fursa ya kujiajili na kuajiliwa
Diploma in...
Natumai siku si nyingi hapo mbeleni shule zitafungulia itakapowapendeza watawala,
Hivyo basi, Naomba kufahamishwa shule nzuri ya boarding (english medium) kwa Dodoma. Iwe ya shirika ama...
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne 2019 na matokeo yangu yametoka mwaka huu 2020 na yanaruhusu mimi kuendelea mbele na jina langu kwenye cheti cha kuzaliwa limekosewa na ninahitaji...
Natumai mu wazima na mnaendelea vema kwa msaada Wa Mungu.
Nimekuwa na shauku ya kujiunga kwa Level ya Master's katika chuo hiki. Mwenye uelewa juu ya taratibu kwa mtu aliyenje ya Uganda kujiunga...
Habr zenu wanajamv,nimechaguliwa hiyo kozi pale NIT lakini sikuiweka katika machaguo yangu niliyoweka TCU.Yani nahisi kuchanganyikiwa maana huku mtaan naambiwa kwamba naenda kua fundi...
Naitwa selina ni mwanachuo nasomea uhasibu AAR ngazi ya Diploma,
Jamani tangu misukosuko inipate nimejikuta kasi yangu ya kusoma imepungua sana hadi lecture akauliza darasani nina matatizo gani...
Habari za leo Wajamvi wa JF
Naomba kama kuna mtu mwenye uelewa na taarifa za uhakika Bodi ya Mikopo Tanzania (HESLB) au kuhusu Ufadhili wa wowote wa kusoma SHAHADA ya UZAMILI anipatie kwa haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.