Msaada kuhusu chuo cha UNICAF kama kinatambulika na TCU

Msaada kuhusu chuo cha UNICAF kama kinatambulika na TCU

onkoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
514
Reaction score
480
Wadau naomba kujua taarifa kuhusu hiki chuo kinachotoa online study scholarships na kama kuna mtu amewahi some kupitia chuo hiki anipe dondoo maana nimeomba masters degree in business administration na nimepata. Ombi langu ni kujua kama kinatambulika na TCU na baadhi ya taarifa za msingi.
 
Nahisi utakuwa umeipata ya pale MALAWI. Ngoja wataalam waje.
 
Kama una wasiwasi please wasiliana (barua au watembelee) moja kwa moja na TCU ili investment yako (time and money) iwe na matokeo chanya.
 
Back
Top Bottom