Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za asubuh wakuu. Nimeamua kuunda group la whatsap kwa ajili ya kuwasaidia wale wote wanaotarajia kujiunga na vyuo mbali mbali mara hii kwa diploma na degree na pia wanaotaka kuomba mkopo...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF? Kwa vijana wanaotaka kusoma kozi za uhandisi na hawajui wapi pa kuanzia tafadhali usisite kuuliza swali hapa ili uweze kujuishwa unachotaka kujua!! Nitatoa maelezo kuhusu kozi...
1 Reactions
108 Replies
33K Views
Gharama za udaktari Kwa Tanzania Kwa miaka mitano ni shilingi ngapi?
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Umemaliza kidato cha 4 na kuchaguliwa chuo kwa kupata Division 3; sasa kozi walikupeleka ni Record and Archives Management; ni bora kwenda private wakuu au bora ukisoma hiyo kozi. Msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heshima Mbele wadau Kuna bwana mdogo kachemsha pepa najaribu kuona namna ya kumsaidia. Naomba kuulizia kituo cha maandalizi/tuition center kizuri kwa maandalizi kilichopo maeneo ya Goba au Mbezi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ORODHA YA MAJINA WANAOTAKIWA KUSAHIHISHA MAOMBI YA MIKOPO 2019/2020 HESLB imetoa orodha ya waombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ambao fomu zao zina upungufu ili wafanye marekebisho kwa...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu habari ya usiku huu. Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni kati ya wanafunzi walio hitimu kidato cha sita 2008 shule ya sekondary Makongo. Nimekua nikiyatafuta matokeo hayabkwa muda mrefu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anayejua ada za vyuo vya ualimu wa Secondary kwenye vyuo vya serikali ngazi ya diploma anisaidiae. Tafadhali karibuni
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kujua mshara wa mtu alie soma hyo course wana lipaje
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya Diploma in Meteorology au Bachelor in Meteorology, kuhusu upatikanaji wa ajira na soko lake kwa ujumla. Pia ningependa kujua na ngazi za mishahara kwa wahitimu...
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Mimi kama mwenyekiti wa huu mdahalo, Naomba kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums ili tujadiliane kwa hoja juu ya hii tenzi tata isemayo, "elimu ni bora kuliko pesa" Ni...
0 Reactions
23 Replies
13K Views
Jamani ndugu zangu habari zenu.... Samahanini sana naombeni msaada wenu sana nipo serious natafuta Chuo cha Afya kizuri Kwa maana wanafundisha vizuri. Nahitaji kusoma Clinical Medicine. Mwaka...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo? History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F Division I I I. 22. Form Four...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimetengeneza profile ya maombi ya NACTE, pia gharama zote nimelipa za maombi. Sasa nahitaji kuomba kozi za ualimu diploma lakini sioni option ya elimu kwenye akaunti yangu. Napata option moja tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Nilikuwa naomba ushauri wenu hii kozi imekaaje kwenye soko la ajira na pia uyu mtu anaye soma hii kozi akimaliza anaweza ajiliwa wapi, na pia nimeona sehemu moja tu inapotolewa hii kozi...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu naombeni utaratibu wa kufunga na kufunguliwa kwa vyuo mbalimbali vile vya kati na hivi vikuu kwa semester hii baada ya janga la COVID 19 kuharibu utaratibu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wanajamii Wenzangu. Mimi kama mmoja ya wadau wa elimu na masuala ya kijamii nina maono flani nataka kuyafikisha kwenu kwa ushauri na upembuzi zaidi. Kwa nini serikali ama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
SONGWE: RC AWACHAPA VIBOKO WANAFUNZI 5 KWA TUHUMA ZA KUCHOMA BWENI MKUU wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewachapa viboko wanafunzi 5 waliohusika katika tukio la kuchoma moto...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Hivi NACTE na TCU wanatofautiana vipi katika shughuli za kiutendaji 1. Kudahili wanafunzi 2. Uhifadhi wa data
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakubwa, Hivi inawezekana mtu asome Diploma Mbili? Ipo hivi kuna mdogo wangu alisomo Dodoma course fulani ya forensic science sasa inaonekana hyo course haina dili hapa mjini!. Sasa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom