Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau naomba ufafanuzi tafadhali Nini maana Hons katika degree? Nje ya UD kuna chuo kinatoa? Vigezo vyake ni vipi? Chuo kina uwezo wa kumpokonya alumni wake degree?
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Natafua mtu aliyesoma Masters ya Education au Administration Open University. Kama nitampata mtu huyo atajisaidia sana, please ni PM ili tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WALIMU SHULE BINAFSI WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KISA CORONA Chama cha Walimu wa shule binafsii nchini TPTU kimeiomba serikali kuingilia kati suala la madai ya wamiliki wa baadhi ya shule binafsi...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
katika fani ambazo zimejificha na siyo rahisi mtu kujua manufaa ya kusoma ni fani za Computer. Zamani niliamini ya kwamba mtu hana haja ya kusomea Computer anaweza kujifunza kama vile ilivyo...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimejaribu kuuliza watu wengi hasa baada ya haya matokei ya form four wale waliofanikiwa kufaulu juu ya malengo yao ya baadae , asilimia kubwa wameniambia wanataka kuwa madaktari wa mifupa ...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007. Nilikula sana integral na differential equations. Wewe je?
7 Reactions
257 Replies
21K Views
Je, Mtu mwenye ufaulu huu Civ - C , Geo - C , Kisw - C , Eng - C , Chem - C , Bio - C , Phy - D , Math D , Hist - D anae 3 . 22 anaeza kwenda advance Government comb ya PCB 2020?
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nilipata bahati kutembelea maonyesho ya vyuo vikuu pale Diamond Jubilee leo, duuh nimekuta vyuo vya China kama 25 hivi kila chuo kikiwa na banda lake kwa ajili ya Maonyesho binafsi...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Yani jamani nina uwezo darasani lakini nakutwa na hali ya kukata kata tamaa tu hii hali inanifanya nikiingia kwenye mitihani nakuwa napanic mf kuna mtihani nilikuwa na uwezo wa kupata 15 ya 15...
0 Reactions
3 Replies
792 Views
Wakuu na wahusika wa Elimu, Mwanangu amehitimu kidato cha Nne na kupata matokeo yasiyo ridhisha kwa hesabu amepata (F) ndoto zake ni kuwa Daktari combination zimekubali, CBG lakini ajabu uteuzi...
1 Reactions
77 Replies
8K Views
Nimegundua haya, Kwanini Hapa Tanzania kila graduates wa taaluma hizi atakuja na proposal ya information management system yoyote ile hata kama zipo tayari. Kibaya zaidi system hizi hazina...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari. Naomba Msaada na ufafanuzi Wa Kuchukua Diploma Kati ya hizi Kozi tajwa apo juu.Kwa miaka tunayoendana nayo uko mbeleni ìpi ina wigo mpana katika soko na Ipi itakuwa na manufaa zaidi...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
ONYO: kama bado hujapata msosi hadi muda huu unashauriwa kutafuta nyuzi nyingine
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu Wanajamvi, Kama kichwa Cha habari kinavo jieleza hapo juu mimi ni muhitimu wa Kidato cha Sita mwaka jana wa 2019/2020 mchepuo wa CBG matokeo yalikuwa kama hivi BAM=B...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Jamani, naomba ufafanuzi kidogo juu ya hizo kozi mbili na ni ipi ndo kozi nzuri kusoma kwa ngazi ya diploma na ni ipi ndo ina nafasi nyingi za ajira?
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Samahani wakuu, Naomba kuuliza hivi: Kwa mfano ulienda chuo tu bila kupitia Kidato cha 5 na 6; unaweza kupata mkopo? Na mkopo hutolewa kwa ngazi ya degree tu au? Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anayejua Shule za private zisizo na majina makubwa zilizopo DSM na pembezoni mwa mkoa wa Dar es Salaam. 1) Upande wa kusini; maeneo ya kutoka Mbagala rangitatu mpaka mkuranga. 2) Upande wa...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Naomba msaada wenu. Mimi mhitimu wa kidato cha sita 2020 HGL ningependa kusoma course ya biashara chuo. Naombeni msaada wenu tafadhali NB: Mathematics nina D O-level
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Q 1. Despite of reforms in the curriculum the progress made in the promotion of practical education in primary and secondary schools is very slow and insignificant. Using pertinent examples...
0 Reactions
3 Replies
857 Views
Back
Top Bottom