Kwa wale wote wanaotaka kuomba vyuo na mkopo

billgate98

billgate98

Member
Joined
May 10, 2018
Messages
36
Points
95
billgate98

billgate98

Member
Joined May 10, 2018
36 95
Habari za asubuh wakuu.
Nimeamua kuunda group la whatsap kwa ajili ya kuwasaidia wale wote wanaotarajia kujiunga na vyuo mbali mbali mara hii kwa diploma na degree na pia wanaotaka kuomba mkopo.
Lengo la group ni kusaidia kufanya application pamoja na mawazo ya fani tofauti.
Ukiwa tayari njoo inbox na
link hii https://chat.whatsapp.com/BCZiyakOs9eGoL1DiqLo1s
Ahsante.
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
341
Points
500
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
341 500
Web page not available, naomba uniadd kwa hii namba 0752026992
 
billgate98

billgate98

Member
Joined
May 10, 2018
Messages
36
Points
95
billgate98

billgate98

Member
Joined May 10, 2018
36 95
Web page not available, naomba uniadd kwa hii namba 0752026992
Kwa wote wenye tatizo kama hili copy iyo link nenda ka paste kweny number yoyote ile whatsap send halafu click itakupeleka moja kwa moja kwenye group.
 
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Messages
503
Points
1,000
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2016
503 1,000
kama unaomba chuo na mkopo mwaka huu pitia hizi link kwa kiwango kikubwa zitakusaidia

step zile ambazo ni general kuomba mkopo hizi hapa pia zilitumika mwaka jana

badhi ya vigezo vya kupata mkopo ambavyo heslb huviangalia sana

minimum requirement za kujiunga na vyuo vikuu katika programme mbalimbali

list ya website za vyuo kwa ajili ya kufanya application


jinsi ya kuverify vyet rita
 

Forum statistics

Threads 1,306,734
Members 502,204
Posts 31,589,148
Top