Utendaji wa NACTE na TCU

Last image

New Member
Jul 17, 2020
2
0
Hivi NACTE na TCU wanatofautiana vipi katika shughuli za kiutendaji

1. Kudahili wanafunzi
2. Uhifadhi wa data
 
Swali lako ni la kiufundi sana,linahitaji wahusika wa vyombo hivyo viwili kutoa ufafanuzi ni kwa jinsi gani vinafanya kazi
 
TCU elimu ya juu kuanzia 1st degree up to PHD.
NACTE, basic, certificate and diploma, NTA L4 hadi 6 na VETA NTA level 1 up 3

hii ni kwa miaka ya kuanzia 2015 up to date , maana uko nyuma vyuo vikuu na collage vilikuwa vinasajiliwa na TCU na baadhi NACTE,

Ila waliamua kutenganisha NACTE ikabaki na elimu ya NTA L4 hadi 6 na usajili wa vyuo vyake plus kozi zote na kuhifadhi matokeo yao na kutoa vyeti kwa vyuo ya afya, mifugo na samaki.harafu TCU ikabaki na elimu ya juu pamoja na kutunza matokeo yao.

Ndo maana saivi kozi zote za afya(diploma, certificate &basic) zipo under nacte wana mtihani mmoja wa kumaliza semester 2

Selection za wanafunzi saivi unaenda chuo husika unaomba isipokuwa vya serikali tu
 
Back
Top Bottom