Alex mapunda
Member
- Apr 17, 2017
- 44
- 12
Naomba kujua mshara wa mtu alie soma hyo course wana lipaje
Naomba kujua mshara wa mtu alie soma hyo course wana lipaje
diploma umeipatia wapi?Diploma
Naomba kujua mshara wa mtu alie soma hyo course wana lipaje
Mamlaka ya Hali ya Hewa wana utaratibu wao wa kuajiri kwa nafasi za chini,Mfano kwa walio ajiriwa malaka ya hali ya hewa
Sio kua nina diploma apana nataka niombe hyo course so ndo mana nataka niijue vzri ad mshahara wake ila kigoma kipo chuo wana toa diplomanimekuuliza hiyo diploma yako umeipata wapi kwa sababu hakuna chuo kinachotoa Diploma ya Meteorology hapa Tanzania.
Hapo umeandika nini??Me nme soma PCM na nme faulu vzr2 xo diploma ni kwamba wana lipa zaid ya hyo 650k
ooh basi watakuwa wamekiUpgrade chuo chao, manake ndo hicho chuo cha TMA, lakini zamani walikuwa wanatumia mtindo huo wa kutangaza ajira,.Sio kua nina diploma apana nataka niombe hyo course so ndo mana nataka niijue vzri ad mshahara wake ila kigoma kipo chuo wana toa diploma