Natafuta Chuo chochote kizuri cha Afya Dar es Salaam

Dec 31, 2018
15
11
Jamani ndugu zangu habari zenu....

Samahanini sana naombeni msaada wenu sana nipo serious natafuta Chuo cha Afya kizuri Kwa maana wanafundisha vizuri. Nahitaji kusoma Clinical Medicine. Mwaka jana nilitafuta nilichelewa Kwa Mwaka huu nahitaji kwenda Chuo na sio kubaki tena nyumbani...

MATOKEO YANGU
Biology=B
chemistry=C
Geography=C
mathematics=C
Physics=D

Naomba msaada sana sana

Asanteni
 
Chochote? Kiukweli ndio maana kwa sasa unakuta wasomi ni wengi ajira hawapati,vijana wengi wa sasa tumekuwa na vyeti ila sio ufanisi katika kazi.

Imagine mtu anataka kuingia chuo anakuja na gia ya chuo chochote,serious?

Now kazi zimekuwa ngumu lakini bado mtu hataki kukaa na kutafakari kuangalia chuo cha kusoma,aina ya course kutokana na ajira zilivyo,hili asitoke ma cheti tu bali ubora katika vitendo.

Vijana tubadilike.
 
Chochote?, kiukweli ndio maana kwa sasa unakuta wasomi ni wengi ajira hawapati,vijana wengi wa sasa tumekuwa na vyeti ila sio ufanisi katika kazi.
Imagine mtu anataka kuingia chuo anakuja na gia ya chuo chochote,serious?
Now kazi zimekuwa ngumu lakini bado mtu hataki kukaa na kutafakari kuangalia chuo cha kusoma,aina ya course kutokana na ajira zilivyo,hili asitoke ma cheti tu bali ubora katika vitendo.
Vijana tubadilike.

Samahani Mkuu nimekuelewaaa vizur sana....lakini pia naisii wewe katika kusoma kwako koote umeona hilo neno chochote tu.....ivii ni kwel ujaona hilo neno kizur??
 
Tafuta chuo cha serikali ambapo ada ni 1M kwa mwaka, achana na private sifa unazo nzuri tu, vyeti vinatolewa na NACTE, mtihani mnafanya wote sawa tz nzima.

Ukipata cha magufuri usichague we piga kitabu, ukimaliza na leseni unapewa unaanza kutoa dada zetu mimba,
 
Shukrani sana sana Mkuu
 
Samahani Mkuu nimekuelewaaa vizur sana....lakini pia naisii wewe katika kusoma kwako koote umeona hilo neno chochote tu.....ivii ni kwel ujaona hilo neno kizur??

All in all hatupo hapa kupishana kauli bali kuwekana sawa.
Muhimu inabidi kwa sasa tuzingatie vitu vya kusoma,kwa wewe ambae ndio unaenda kuanza chuo una nafasi nzuri sana kuliko ambae tayari ameshasoma,tazama je kozi unayoenda kusoma mtaani wapo watu kiasi gani? Au nafasi yake ya ajira ipo vipi,maana kwa sasa inabidi kila kitu kwa malengo sio kama zamani.
 
Shukran mkuu
 
Kwahivyo wewe unajua wapharmacia wanafanya dispensing tu si ndio?

Waphamacia bhana, vitu gani utafanya unique CO ashindwe kufanya hospital?
Ordering ya dawa nje ya hospital wanafanya

Ndani ya hospital ukiachana kuweka cheti famasi, hamna muujiza wa mphamacia ndo maana private utakuta mtoa dawa kasoma mwaka mmoja au 2 maana hana kazi
 
kaka unajaribu kuforce mazngra ucyoyajua pharmacist ateseke miaka 4 kuja kuuza dawa wakat dispenser addo miezi 6 tu wanauza dawa pharmacy ni wide kuliko unavofikir
 
Ungejaribu kuelezea hiyo wide unayoongelea ungesaidia sana, pinganeni kwa hoja.
Ukitoa hospitali kama Aga khan, Muhimbili - Upanga, Bugando (kwa ambazo nina experience nazo), kwingine kote mfamasia hana kitu unique katika kazi yake.

Hii ndio sababu kubwa inaifanya serikali isitoe kipaumbele hata kwenye ajira kwa wafamasia, wateknolojia dawa na wateknolojia wasaidizi dawa.
 
Back
Top Bottom