Maoni yako kwa ufaulu huu akasome kozi gani nzuri Chuo?

Kilindila

New Member
Jun 30, 2020
2
0
Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo?

History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F

Division I I I. 22. Form Four 2019

Tumpe ushauri tafadhali
 
Pumbaaaafu hakuna mtu anayeshauriwa kusomea skills za taaluma fulan yy mwnyew kichwan na akili yake anatakiwa ajitambue nn anapenda wap anafit nn anajiona anataka kufanya mbelen anajiona wap miaka mitano au kumi ijayo ,,, mnaleaje vijana africa hakuna kitu kinatesa maishani kujiandaa kuwa mtumwa wa taaluma ambayo ujaeahi ipenda moyon kisa haukuwa na maono ya kuchagua/hailipi kwny ajira ....,tuwasaidie watoto wetu wajue dhumuni lao hapa dunian wakuu mwanafunzi anatakiwa ajue hatima ya maisha yake mwenyew
 
Back
Top Bottom