Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujenga na kusajiri chuo vigezo vinavyohitajika na Mamlaka zinazohusika kusajiri
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wana JF, Ninasoma bachelor degree ya education (Physics na Chemistry) but baada ya kugraduate nataka nikasome masters of business administration. Nina maswali kadha nitashukuru...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Kerosine have a range of 150-300deg centigrade of BP Assume its BP is 147deg C on average Hexane have 69deg C BP Now i want to mix the two so i end up witn a composite of 110deg C BP What ratios...
1 Reactions
0 Replies
587 Views
Kuna dogo anataka kuomba Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo ngazi ya cheti Ninaomba mnielekeze taratibu za maombi ili nimuelekeze Asanteni wakuu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu hapa sasa kichwa kinaniuma kisawasawa cause wizara wamenizngua ! Je ni ipi kati ya hizo faculty yenye ugumu wa kusoma na na kuhusu suala la kujiajiri na...
0 Reactions
26 Replies
16K Views
Habari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka...
1 Reactions
46 Replies
25K Views
Leo nashanga mwanangu anatoka shule ananiletea barua eti inatutaarifu wazazi kuwa kutokana na likizo ya corona, watakuwa wana masomo ya Jumamosi kuanzia saa mbili mpaka saa sita, hivyo tutalipia...
2 Reactions
7 Replies
941 Views
Huyu jamaa alikuwa T.O mwaka 2014 advance. Ila U T.O wako hakubahatisha kwa kuwa wahenga wanasema nyota njema huonekana asubuhi. Isaack alianza kuonesha Cheche zake tangu yupo shule ya msingi...
7 Reactions
28 Replies
9K Views
Haya sasa wale wa SUA tembeleni website ya SUA, [Sokoine University of Agriculture] mjiangalie wenyewe,bila kusahau kurudisha feedback hapa jamvini.
1 Reactions
40 Replies
27K Views
Habari. Wagenzi ninaomba msaada wenu tafadhali, naomba mnijuze ni chuo gani kinatoa diploma ya ukuzaji mitaala (diploma in curriculum development) sifa za kujiunga (vigezo) na mambo yote ya...
0 Reactions
1 Replies
790 Views
habarn za leo, ivi ule mfumo wa kuunganish cheti kwa wale wanao rudia mitihani bado upo au system imebadilishwa? mf 2015 nimepata D moja,2016 nikapata D nyingine moja ,Je nawez kuunganisha ikawa...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Mchekie na mwenzako. Mimi enzi hizo nilipata batch ya 6 Yaani draft ya sita tena100% Chamsingi tu ni nidhamu ya boom ajira bado sana mpaka watumishi tuongezwe mishahara siyo kesho wala kesho kutwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Napata wapi chuo cha maswala ya afya kinachotoa kozi za jioni -evening classes hapa Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nakuja kivingine ka mwanamke wa kitanzania niliefundwa nikafundika iko changamoto kubwa nayo ni uelewa hafifu au hata tuseme ujinga katika uga wa mapenzi. Migogoro mingi katika jamii ina-root...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je, mwanafunzi aliemaliza kidato cha sita(6) na kufaulu vizuri BAM anavigezo vya kusoma courses zipi za Engineering? Je anavigezo vya kusoma computer engineering?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu hivi hawa jamaa watatoa lini majina ya Second Selection? Kwa wale tuliokosa toleo la kwanza? Kwa anayejua atusaidie.
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Salaam wakuu, Been long since tumemaliza shule ila back in days kuna masomo eg. History au Geog. (Geog II) advance na O-level kulikua na maswali ambayo points zake tulikua tunaziita yeboyebo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nikapata div three ya point 23 yaan Civ C, Geog C, History C, English C, Bios C, Kiswahili C, Na Maths F. Baada ya hapo nilipangiwa chuo cha...
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Habari za muda ndugu Wana jamvi, Kama tunavozidi kushauriana kuhusiana na maswala mbalimbali ya kielimu kijana uyu anahitaji ushauri wa hali na mali ukizingatia ndo tunaelekea kwa kufunguliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni ushauri, ninasoma PCM ipi kozi bora niisomee nikifika Chuo?
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Back
Top Bottom