Bachelor of Science in Biotechnology and Laboratory Sciences

Bachelor of Science in Biotechnology and Laboratory Sciences

Fadhili Jr

Senior Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
100
Reaction score
33
Wadau,

Nilikuwa naomba ushauri wenu hii kozi imekaaje kwenye soko la ajira na pia uyu mtu anaye soma hii kozi akimaliza anaweza ajiliwa wapi, na pia nimeona sehemu moja tu inapotolewa hii kozi ambapo ni SUA peke yake, je kuna mahali pengine mtu kaona inapotolewa hii kozi?

Msaada please wadau
 
Kijana we soma tu...hayo mambo ya ajira utayajua ukishamaliza. Kozi yoyote utayochukua fahamu kuwa kuna watu kibao mtaani wameisoma, wengine wameajiriwa wengine wengi hawajaajiriwa.

Kuhusu swali la kuwepo chuo kingine kitoacho kozi hiyo, ndiyo kozi pia yatolewa na chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa jina la BSc. in Molecular Biology and Biotechnology.
 
Back
Top Bottom