Wakuu naombeni ufafanuzi katika hili

Wakuu naombeni ufafanuzi katika hili

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
407
Reaction score
898
Habari wakubwa,

Hivi inawezekana mtu asome Diploma Mbili?

Ipo hivi kuna mdogo wangu alisomo Dodoma course fulani ya forensic science sasa inaonekana hyo course haina dili hapa mjini!. Sasa nikajaribu dogo aende chuo GPA ni ndogo!!

Sasa nataka niaaply vyuo vya afya ili akasome!

Sasa najiuliza inawezekan mtu kusoma Diploma mbili!!?

Wakuu naombeni masaaa maana derishaa linafungwaa tarehe 15 augst!

Your advice is highly appriciated!

Asanteni!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Posible kabisaa... watu hadi degree nne nne tofauti. Ila next time usichafue mtu au taasisi kisa tu huna historia au experience nzuri nao/naye.

Watu wana move kila wakati
 
Pia asomee kwa bidiii kama diploma tu kakwama kufika 3.0 huko anakoendaaa akileta mbwembwe hata hiyo diploma hatomalizaaa.... ata disco level 5 tu
 
Back
Top Bottom