Heshima mbele...naomba msada wenu moderators na wengineoo...
ile link iliwekwa hapa kama mwezi mmoja umepita una pdf nyingi tofauti ......masomo na nyanja mbali mbali....hasa shule...ni muhimu...
Watakaorejea vyuo vikuu watangazwa
Stella Nyemenohi
Daily News; Thursday,January 08, 2009 @21:15
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na cha Sokoine cha Kilimo (SUA) vimetoa orodha ya...
Nimeangalia kwenye runinga habari ya kufungwa kwa shule ya Sekondari ya Pugu, kutokana na kukosa Msosi baada ya wazabuni, kususa kuendelea kutoa huduma bila malipo ama kwa LPO yaani Lipa Polepole...
SAN FRANCISCO (AFP) Intel on Thursday showed off a wireless electric power system that analysts say could revolutionize modern life by freeing devices from transformers and wall outlets...
Nataka kuunganisha hii makitaba(library) WinPcap kwenye visual studio c# 2008 kwani sio native yake.Lakini sijui namna ya kuingunanisha ili ichape mzigo.
Mtu yeyote mwenye maelezo murua namna ya...
*What is a report?state the importance of reports.What do you think are the principles that should be applied in preparing special reports?
*list down and explain personal encounters that you...
Dear Friends,
Ni lazima tuelewe kwamba knowledge is not wisdom. One can have knowledge,but one may not have the wisdom to apply that knowledge. One needs both knowledge and wisdom. This is the...
Ukiangalia angani wakati ndege zapitapita, utaona matokeo mawili mkiani mwa ndege:
1. moshi mdogo ambao unapotea haraka sana, hata kabla ndege haijatoweka.
2. moshi mzito ambao hautoweki...
Did Chinese beat out Columbus?
From: China Discovered America
SINGAPORE: Did Chinese sailors really discover America before Columbus? A new exhibition sets the scene, presenting new evidence...
Kuna wakati mwingine unaweza kusikiliza maelezo au maoni ya mtu fulani halafu maoni/maelezo hayo yakakupa manufaa au yakakupa madhara ya kudumu. Hivyi ndivyo somo la Hisabati na wenzake wa Sayansi...
Jamani nakumbuka huu ndio muda ambao wanafunzi wengi ambao wanataka kuja kusoma China huwa wanajaza fomu na kutafuta vyuo huku,sasa katika kuwasaidia watanzania wenzangu na watu wengine,nimedesign...
Mambo ni mazito Baraza la Mitihani
Mwandishi Wetu Disemba 3, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Viyendo
HALI bado tete ndani ya Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) huku taarifa zikisema sasa...
Tuchambue na kuchangia
Engineers vs lawyers, economists, doctors etc
Think all man made things in this world what you use, see, touch, etc. Doctors cant perform their duties if an engineers...
Nimejaribu kutafuta nini lengo hasa la kumpeleka mtoto shule, na jee ni shule ya namna gani. Hii yote ni kwa sababu nimekwisha pima na kuona kuwa watoto/vijana wanatumia muda mwingi na...
Throughout the years, people have observed their universe and tried to uncover its secrets. To answer some thorny questions, many scientists have made important discoveries, considering the...
Halima Mlacha--Habari leo
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Mlimani (UDSM), Elimu (DUCE) na Mkwawa, waliosimamishwa masomo kutokana na mgomo, wameamriwa kujaza fomu upya za udahili na kulipa asilimia 40...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.