Maajabu: 80% ya wanafunzi form 3 Njiro sec Arusha hawajui kusoma wala kuandika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu: 80% ya wanafunzi form 3 Njiro sec Arusha hawajui kusoma wala kuandika

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Shapu, May 15, 2009.

 1. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Njiro school debacle: What do we do?

  By Editor

  13th May 2009

  A whole 80 per cent of students in a Form Three class cannot read and write? You will likely be inclined to say that is impossible, yet Arusha's Njiro Secondary School will easily prove you wrong.

  And it will be none other than the headmistress affirming that 170 out of a class of 224 failed miserably last year's national Form Two examinations chiefly because they cannot even write their names!

  Probably as puzzled as anyone else would be under the circumstances, she would wonder just how the students concerned made it to secondary school in the first place.

  She would also call for the government to rescind with immediate effect its recent decision to allow even Form Two examination failures to move on to Form Three.

  Now, where does the problem lie? Is it with the students, their teachers, the learning/teaching environment or the education system in its entirety?

  The school's management talks of a serious shortage of desks and teachers for strategic subjects like mathematics, physics, chemistry, biology and civics. Other problems cited include lack of a science laboratory, an administration block and teachers' quarters.

  Those following developments in Tanzania's education sector closely enough know for a fact that Njiro is not alone in facing the problems it is facing.

  However, neither does this mitigate the seriousness of the problems experienced nor should it serve as an excuse for any failure or reluctance to come to the school's rescue because it surely portrays our country in unacceptably poor light.

  We are told the school was inaugurated by President Jakaya Kikwete as recently as March 17, 2007, in itself a matter of some consequence.

  Thus, irrespective of whether it is run by the government or some other owner, we find it hard to imagine how anyone could tolerate the mess the school is in.

  We would therefore earnestly want to see the Education and Vocational Training ministry take measures as urgent and comprehensive as those it has taken in various other parts of the country to ensure that Njiro Secondary School either shapes up or folds.

  We say this aware that the government's magic has not always worked and that, even where it has worked, the outcome has not been all that homogeneous or all-embracing.

  We also know that some of the problems plaguing the country's education sector are so deep-rooted and complex that they cannot be solved that easily or that soon, partly because we are starved of the resources needed to help make that possible.

  However, there surely is much we could do to effectively deal with problems like truancy, shortages of basic facilities, lack of concentration in class and pervasive indiscipline which could result in the kind of poor performance by students that has so vividly manifested itself at the hapless Arusha school.

  Whether it is education for education's sake or education for some specific purpose, Njiro is a horrendous case - a national shame. We must take remedial action on all such cases. And there is no reason for failure.  SOURCE: THE GUARDIAN
   
  Last edited: May 15, 2009
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Kuna ambaye anajua whether the school is private or government owned?
  If it is gvt owned hawa wanafunzi waliingiaje form one kama kweli hawajui kusoma wala kuandika? Mtihani wa darasa la saba walifaulu vipi? Hainiingii akilini. Mwenye kuijua hii shule tafadhali tuhabarishe.

  All of the above is a problem to our country.  Kama president an fungua shule pengine haijajitosheleza nayo ni tatizo, lake kama raisi. You do not open something which has not met criteria. Au hizi ndo zile shule za lowasa nini?

  May take: Politics has killed our county's education.
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wakuu mnashangaa leo??
  Nikiwaambia serikali yetu inapenda kujipongeza kwa data za kuivishwa mtasema tunaipogoa mno?
  Natoa changamoto kwa wanataaluma humu kufanya tafiti how many students waliofaulu kwenda sekondari hawajui si kusoma na kuandika tu bali hata namna ya kupanga sarufi za majina yao.

  Hali hii inatisha. Maana takwimu hizi ndizo wanazopelekewa wafadhili na wao wanaendelea kumwaga misaada zaidi. na wakija kukagua wanaimbiwa nyimbo za kitamaduni huko mashuleni kisha haoo wanapanda ndege kurudi kwao na picha njema ya nchi yetu.

  Kwa jinsi tunavyokwenda, natilia shaka sana uwezo wa kitaaluma kwa wanafunzi wengi wa vyuo vikuu vyetu kwani kuna ujinga unaofanywa ambao hata mtoto wa nasari atashangaa akisimuliwa. Natoa mfano kwa yanayotokea sasa pale kwenye darasa la LST - DUCE ambapo wanachuo waliogoma wanawafungia darasa wasiogoma ili wasipate elimu waliyoilipia. Huu ni uwendawazimu unaoanzia kwenye shule za misingi kutowaandaa wanafunzi kwa misingi mizuri zaidi....
  ah nisije nikatukana bureee maana naona robot leo anapost dabo dabo hivyo anatusoma kila dakika
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Msanii,
  I could not believe that. Kama hali ndo hivyo then hali yetu in the next few years itakuwa balaa balaa. Tena ukizingatia tunataka east africa federation or sijui nini nadhani watanzania basi tutaishia kuwa ma-mesenja, masecretary, ma-driver and that kind. Hii ni hatari sana.
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  mkuuu
  hakuna anayejali kwani hakuna sera za kuwabana hao watawala kusomesha watoto wao ktk shule za serikali ndo maana wanabuni mitaala ovyo kabisa na pia hata maandalizi ya somo hayazingatiwi siku hizi. ukiwagusa tu utawasikia wakisema kuwa wanao uhuru wa kuchagua shule za watoto wao kwani uwezo unawaruhusu hata katiba pia inawapa uhuru wa kuchagua.

  Hata kipindi hiki kuelekea kikaangoni ndo utakuta wanamiminika mashuleni kugawa kompyuta (zitakazoishia stoo) kwa madhumuni ya elimu ila katu husikii wakidhamini au kutafuta waalimu wa kufundisha kompyuta ktk shule hizo, unajua kwa nini? kwa sababu pc wanazogawa ni screpa na atakayefanikiwa kuzifungua atagundua kuwa ni kanyaboya hazifai kwa level husika. shwain!

  Tuje kwenye kujiandaa kwa shirikisho. sisi tupo miaka 20 nyuma hivyo tutake tusitake tumepitwa na wenzetu. mfano angalia ile kasheshe la uchaguzi kenya ambapo tulishindwa kutumia fursa ile kujitutumua kiuchumi badala yake watu wakawa bize kuiibia hazina kwa jina la biashara za ndani. Halafu aje mtu kutueleza hapa kwamba akiba ya foreign imepungua kisa hatuuzi nje!!!!! Mimi naona, wewe unaona je hatima yake ni nini????....
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hivi nikumbushe.
  waziri wa ulinzi anaitwa nani vile?
  ops hebu niambie yule naibu wa nishati na madini anaitwaje vile????
  ah bado hamjasoma alama za nyakati tu?!!
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Wala sio la ajabu tena hizi shule za secondary za kata. Watoto hawajui kusoma wala kuandika hata jina lake, sasa sijui alifaulu vp na kuchaguliwa. Nadhani serikali inafanya bora liende na shule zijae.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hili ni jambo la msingi linalotakiwa kuangaliwa kwa makini mno. Ktk kila ngazi, kuanzia shule za msingi mpaka huko mbeleni wanafunzi lazima wapimwe kama wamefikia viwango vinavyowaruhusu kuendelea na ngazi inayofuata. Mathalan, je mwanafunzi anayeingia darasa la pili kutoka la kwanza je amefikia sifa za wastani anazotakiwa awe nazo ?..and so on. Usipotumika utaratibu huu ndio matokeo yake, mnabaki kushangaa kuvuna ubua wakati mlicheka na nyani wakati wa palizi.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Shule isiyo na maabara sielewi inawezaje kusema inatoa elimu..lol
  Ok, kuna matatizo ya fedha kila kona ktk nchi yetu, lakini nadhani tatizo la ukosefu wa mipango ni more apparent. Huwezi ukajenga shule na kuifungua kwa watoto kuanza kuitumia bila ya kuwa na waalimu wa kutosha au vifaa muhimu na vya msingi kwa ajili ya matumizi ya kila siku na ya kawaida kabisa..Ni kheri ukawa na shule yenye darasa moja na vifaa vichache vinavyokidhi mahitaji ya watoto wachache na itakayochukua watoto wachache wakapata elimu nzuri na bora, kuliko kuwa shule hobelahobela isiyo na walimu wakutosha na yenye wanafunzi wengi lakini hadi wanafikia form 3 hawajui hata kuandika majina yao..lol
   
 10. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2009
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Inawezekana shule hiyo ilijazwa tu watoto ambao hawakufaulu mtihani wa darasa la saba ili JK aizindue ile tarehe March 17, 2007. Watafuta sifa wa CCMeek:
   
 11. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  na kwenye kampeni tunajisifia kwamba tumeongeza shule mpaka kufikia 3000's
   
 12. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mwandishi kaweka chumvi kupindukia.
  Tilia shaka ukishaona jina la mwandishi halikutajwa (Na mwandishi wetu, by editor, etc).

  Habari yote hii msingi wake ni hiyo statement moja tu ya headmistress ambaye wala jina hakutajwa. Statement ambayo wala sivyo ilivyosemwa, that is why it is not under quotes. Kwa makusudi mwandishi hakutupa clues zozote tuweze kuijua hiyo shule, au kujua ni nani kasema nini.

  Hakuna nukuu (quote) hata moja kwenye article nzima, which is very old. Uandishi wa namna hii ni wa kupuuzwa!
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  i will make a follow-up then i will come up with concrete data. I doubt with this information if they are correct 100%
   
 14. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Ni kweli ndugu yangu. Mimi nina ushahidi wa shule mojawapo ambayo kati ya wanafunzi karibu 267 ni wanafunzi wawili tu ndio wamefaulu vizuri kwenda Form 3!

  Unategemea nini kwa shule nyingi zilizoanzisghwa ambazo wala hazina walimu achilia mbali wa kutosha bali wenye sifa. Ni wale wa fastafasta na waliokosa kazi sehemu nyingine ualimu ukawa mbadala
   
 15. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kyakya,
  Mwandishi anataka kutuambia kwamba wanafunzi form 3 Njiro sec Arusha hawajui kusoma wala kuandika, na kwamba hata jina hawawezi kuandika.
   
 16. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani jamani, yaani mwanafunzi kidato cha 3 hajui kusoma na kuandika!!!!!! Kwanini?
  Ina maana walifikajefikaje kidato cha 1? Waliandikaje kwenye mtihani wa darasa la saba? Ningeafiki, japo kwa asilimia 20, kuwa hajui kusoma wala kuandika kwa kiingeleza!!!

  Uhaba wa walimu kwenye shule za kata lipo shule nyingi sana. Sijajuwa nikiulizwa ni jinsi gani tulitatuwa? sijajuwa jibu!!
   
 17. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unajua katika uandishi kuna "exaggeration for effect" lakini hapa imezidi mpaka imeharibu habari, statistically speaking, unless hiyo shule iwe inakubali watu ambao hawajasoma shule ya msingi sioni itakuwaje na wanafunzi 80% ambao hawajui kuusoma na kuandika, hata majina yao.

  Ukiniambia 80% hawajui kusoma na kuandika kiingereza, au katika level yao darasa lao nitakubali (katika level ya darasa lao hata 100% inaweza kuwa) lakini ukisema 80% hawajui kusoma na kuandika utakuwa una stretch.

  Why, watoto kibao wamejua kusoma na kuandika kabla hata ya kuanza shule.

  But maybe I am "out of touch" with the conditions on this shogun-soldier shotgunned showdown with no Sean John called rural Tanzania.
   
Loading...