Msaada wa ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ushauri

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by PakaJimmy, May 13, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nisaidieni wana JF.
  Kuna hiki chuo kinaitwa KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY (KIU),ambacho kina branches huku Bongo. Japo nimeingia kwenye website yao nikatazama, bado sijajiridhisha ya kutosha kama kiko accredited.Nilikuwa nataka kufanya distance learning nao. Kama kuna mtu anafahamu zaidi kukihusu, au kama kuna waliosoma au wanaosoma hapo, hasa distance learning, naomba ushauri.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  May 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Niliambiwa chuo hiki hakitambuliwi japo kipo Quality Plaza - Dar es Salaam.

  Naamini wengine watakushauri accordingly.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Asante sana INVISIBLE kwa ushauri.

  Nami nitaendelea kuufanyia kazi.

  Hey....Ushauri zaidi wadau....
   
 4. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mjomba bora tu ujiunge na Open University, hapo usijihangaishe sana utapata shida sana ukishamaliza kuwashawishi aidha waajiri au mahali pengine ambapo utataka kupeleka vyeti vyako juu ya uhalisia wa hiki chuo.Ni ushauri
   
 5. m

  mnozya JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mkuu hicho chuo kinatambuliwa na mamlaka ya uganda, na kinatambuliwa east africa, pia kina matawi sudan na rwanda. Kimsingi kiko accredited.

  Miaka 2 iliyopita mamlaka za tanzania zilisema hakijaomba kibali kuendesha program zake hapa tanzania.

  Hapo wadau msichanganye na acredition, hoja ni kwamba kimepewa kibali kuendesha shughuli zake hapa nchini kwa mujibu wa taratibu za nchi?

  Pia nani kawaambia kuwa waajiri hawakitaki au ndio majungu hayo? Kwa taarifa yenu wanakitaka sana na program zake ni nzuri.

  Mimi sijasoma kwenye hicho chuo ila nilikifanyia utafiti hususani program zake kama zinauzika kwenye soko la ajira.
   
 6. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mnozya.... hivi umeshaona wapi chuo kinachomsajili mwanafunzi aliyepata S F F kwenye combination ya PCB?
  Nna mfano ulio hai
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  To all the above...

  Big-up to all contributions that u have given to me.. I will work on them.

  Asanteni sana...
   
 8. m

  mnozya JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  AMANI, suala la ufisadi lipo, hata ukienda UDSM, UTAKUTA WAPO WALIOINGIA KWA DIVISION MBOVU KABISA .................. Corruption, corruption ipo.

  Pia huwezi jua labda alifanya marticulation exams kwa kutumia cheti cha F.IV?

  Pia haiyamkini alianza kusoma diploma akaunga na digrii?

  Labda ungefafanua scenerio nzima. Lakini kama nilivyosema corruption ipo.
   
 9. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Yes , corruption ipo lakini kama kweli wanachukua mtu mwenye SFF Form VI , hicho siyo Chuo, vyuo vyote vya serikali huwezi kuchukuliwa kwa alama hizo, !!! Hata hiyo UDSM hata siku moja hawawezi mchukua mtu mwenye hizo credit hata kuwe na rushwa kiasi gani.
   
 10. R

  Renegade JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,765
  Likes Received: 1,068
  Trophy Points: 280
  Mwanafunzi anaweza kupata SFF Form six , Lakini form four akawa ameperfom vizuri.Akazitumia hizo pass za form 4 kufanya diploma ,halafu at University level anaingia chuo na Equivalent qualification. Hiyo inakubalika.Lakini ikiwa kwa namna yoyote mwanafunzi ameingia Chuo kwa cheti cha form six na SFF, Huo ni wizi mtupu.
  All in all TCU ndio wanaoregulate wanafunzi wote wanaingia vyuoni .Kila mwaka wanapelekewa list za wanafuni na sifa zao.sina hakika wako makini na wamejipanga kiasi gani.Wakiamua hakuna ambaye anaweza pata chuo na sifa zisizostahili.
   
Loading...