Wadau nimejaribu kufanya tamthmini kuhusu ufaulu wa mchepuo wa biashara yaani ECA, ila nimegundua kwa miaka ya hivi karibuni hakuna mtahiniwa yeyote aliyewahi kupata Division I ya point 3. Jamani nisaidieni kwa hili.

Kama hutapata jibu la kukidhi swali lako hapa JF nadhani the best way ni kumtembelea dada Joyce Ndalichako na crew yake pale NECTA maana watakuwa wanatunza data kama hizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.