Naomba nieleweshwe namna mifuko ya elimu za wilaya au mikoa zinavyo fanya kazi na kama mtu binafsi anaweza kuanzisha mfuko kama huo kwa jamii ndogo zaidi na uendeshaji wake unakuaje.
Natanguliza...
"By faith Moses, when he became of
age, refused to be called the son of Pharaoh's daughter, choosing rather to
suffer affliction with the people of God than to enjoy the passing pleasures of...
Namna Gani Dunia Inaendeshwa Kitaalamu?
Mnamo Ogasti ya 2, 1990 majeshi ya Saddam Hussayn yalikwaruzana na vikosi vya ulinzi vya Kuwaiti iliyo tajiri kwa mafuta kwa khofu ya Iraqi kuivamia...
Wadau,
Ningependa kujua kuhusu TOEFL (Test Of English as a Foreign Language). Wapi ninapoweza kujisajili kufanya mtihani huo na huwa unafanyika mara ngapi kwa mwaka.
Thanks
Wadau mamboz!
Najua kuna watu wengi ambao wamewahi kusoma shule ya msingi Bunge ambao ni wadau wa JamiiForums na hivyo wataweza kusoma wazo langu.
Jamani nilikuwa nafikiria tufanye kitu kwa...
Money is something which every individual desires and can not have enough of. Everyone wants a constant flow of money in life and to feel secure. The secret here is that not all people know how to...
Since JF is the 'Home of great thinkers', kuna swali linanisumbua na ningeomba wenye maelezo wanisaidie.
Hypothetically: Kama shimo refu na lililonyooka likichimbwa kuanzia upande mmoja ya ardhi...
Inakuwaje Universities za South Africa tu ndiyo zinakuwa top katika Africa?
Hata hivyo UDSM nao wapo wapo sana....!
Source: Ranking of African Universities on the web - Best Universities in...
Kwa wale wa Kagera na wapenda maendeleo kwa ujumla, changieni mada hii kwenye:
Kagera.org :: View topic - How to make the turn around in education?
Je kuna discussions kama hizi kuhusu mikoa...
RAIS wa Jamuhuri ya Uturuki, Abdulah Gul, amesema nchi yake itajenga chuo kikuu nchini kuendeleza uhusiano kati yake na Tanzania.
Akizungumza wakati wa kutia saini mkataba wa ushirikiano kati...
Hi all,
Im currently a student outside Tanzania doing Business in IT and so far i like what im doing. However i always have these questions in mind, do we have IT projects? are there any...
Published Date: 27 January 2009
A NEW Julius Nyerere Scholarship at Edinburgh University will commemorate the life of Tanzania's first president.
In 1949 Julius Nyerere came to Edinburgh...
Darwinism and Racism
The complete title of Darwin's most famous work, often abbreviated to The Origin of Species, was The Origin. of Species by Means of Natural Selection or the Preservation of...
Wana JF,
Nataka kuongeza typing speed wakati ninachapa kazi zangu katika computer. Natafuta software ambayo naweza kuitumia kama tutor ili kunipima muda ninaotumia kuchapa maneno kadhaa (mfano...
jamani mimi nataka kujiunga na chuo cha kampala international university kwa kozi ya Master in Business Administration kwani hicho chuo kimefungua tawi lake pale dar-es-salaam, je chuo hiki...
Mzumbe dons in PhD scam
Eight senior lecturers with the Mzumbe University have doctorate degrees that are either fake or acquired from institutions that lack internationally accepted...
Yanaonyesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa asilimia 10.13. Wanafunzi wengi wamefanya vizuri kwenye Kiswahili (aslimia 81.59) na wengi wamefeli basic mathematics (waliofaulu somo hili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.