Waliosoma Ifunda TTC kuanzia mwaka 1999-2001 mwaikumbuka Kilungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliosoma Ifunda TTC kuanzia mwaka 1999-2001 mwaikumbuka Kilungu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kabila01, May 3, 2009.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2009
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Kwa wale waliosoma chuo cha ualimu ifunda kuanzia mwaka 1999 hadi 2000 mnaikumbuka mitaa kama Banda Beach Kibaoni mnadani kwenye Kitimoto? mnaikumbuka Kilungu kwenye misosi dah its so long time watu wangu
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Duh umenikumbusha mbali, kwenye mikaratusi na Mwilapa wenu ha ha ha ha ha
   
Loading...