Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau kuna athari yoyote (+ au -) ya kutumia majina ya viongozi au watu maarufu katika shule zetu. Mfano shule inaitwa St. Marian Secondary, St Peters Academy, Benjamin Mkapa High School, Mr. Bean...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi inawezekana kuweza kufanya bullets kwenye ppt slide ku-appear randomly? Je inawezekana kutengeneza animations (or any other commands) ambazo zitaniruhusu ku-contol (kwa kutumia...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
I need to be tested with GED,TOEFL.Kwa hapa Tanzania ni wapi nitaweza kupata.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau mimi nataka kutumia baadhi ya picha zilizomo humu zinazohusiana na research yangu kwaajili ya kuandika report for academic purposes. Sasa nauliza je ninayo idhini ya kufanya hivyo, au zipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wa JF hivi karibuni, board ya mikopo ilitangaza kuwa watasomesha wanafunzi wa Masters na PhD. Wengi tulilipokea tangazo hilo kwa fulaha lakini pia tukicaution kuwa inaweza kuwa political...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naombeni msaada wenu kuhusu namna ya kutafuta full scholarship kusoma vyuo vya nje kama USA au UK,Na jinsi ya kujua kama link unayotumia ni ya chuo husika au hackers!nitashukuru zaidi kama unani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kinachota elimu ya vitendo zaid na vyeti vyake vinakubalika zaidi katika fani ya IT kwa ujumla kiwe cha mtaala wa nje ama ndani lakini kiniwezeshe kufanya kazi popote duniani bila mizengwe
0 Reactions
2 Replies
2K Views
This is the part of the bookby Sun Tzu, the art of war which many strategists use for making the working startegies.It is a good book to read for those in army Sun Tz˘u’s The Art of War...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
JF, Kuna habari mpya ya kujenga uwezo wa Vyuo vya Elimu ya Juu 2009/10. Bodi itatoa mikopo kwa Waalimu/wanafunzi kusoma Masters na PhD ktk Vyuo vya Tanzania. Wanafunzi watakaopata mkopo ni...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
EDITORIAL: The government should settle textbook policy EDITOR THIS DAY DAR ES SALAAM THE ongoing spat between the government and education stakeholders should not be taken lightly...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
China hi-tech exam cheats jailed Eight parents and teachers who used hi-tech equipment to help children cheat in Chinese college entrance exams have been sent to prison. They were given...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello, I have been using and found it very profitable to communicate this to all education stakeholders. For some of you, you will find it not worthy posting this issue but I think those who did...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa Wadau Wote: Kwa kuwa naamini kuwa inawezekana naweza kuwa nakosea, na kuwa nimesikia au najua kupitia vyanzo mbalimbali kuwa anayejiita "DR" MBWAMBO, ambaye ni Dean wa Mzumbe University Dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana naomba niilete hoja hii hapa jamvini ili tupate kuijadili. Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu sana juu ya kwanini haswa namba tatu (3). Kwani hii namba imekuwa na umaarufu wa pekee kati...
0 Reactions
5 Replies
14K Views
Ningeomba mtu arekodi hivi vipindi na aturushie kwenye youtube, ili sisi tulio mbali tuweze kufuatilia mashindano haya. I hope mwaka huu vyuo vyetu havitaboronga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wenye interest link hii hapa: Ministry of Education and Vocational Training:::::
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Nataka kuomba kufanya masters kwa vyuo huko Ulaya, baadhi ya masharti ni kufanya GMAT, je ni wapi ninaweza kupata tuition au wengine wanaotarajia kufanya GMAT? Nipo Dar na experience yenu ikoje...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeona huu mchongo kwa michuzi labda unaweza kumfaa mtanzania mwenzetu BONYEZA HAPA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What is TIME! What is REALITY? What is EXISTENCE? Tazama documentary hii kupata mwangaza: YouTube - what the bleep do we know (part 1) YouTube - What The Bleep Do We Know (2 of 12) YouTube -...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je, utaratibu wa shule maalum kwa wanafunzi wenye vipaji kielimu upo mpaka sasa? Ninakumbuka miaka 5 iliyopita ndugu Mungai alitoa proposal ya kufuta utaratibu wa Ilboru, Mzumbe, Kibaha kuwa shule...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom