Masikini Chuo Kikuu Huria (TZ) - Open University of Tanzania (OUT) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikini Chuo Kikuu Huria (TZ) - Open University of Tanzania (OUT)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rangi 2, Mar 25, 2011.

 1. R

  Rangi 2 Senior Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  1. Kwa miezi minane sasa CKHT hakijapewa fungu lake la OC kutoka serikalini (HATA SENTI TANO!)
  Hali hii imesababisha shughuli za kawaida za chuo kukwama.
  (Makamu Mkuu wa Chuo akiongea na wanachuo - Dar)

  2. Teaching Practice ambayo ilikuwa ianze sasa imeahirishwa hadi hapo itakapotangazwa - kutokana na ukata unaokikabiri chuo!
  (DVC-Academic- Prof. Bisanda- OUT Website)

  Kwa serikali: Serikali haikitendei haki CKHT hata kidogo...

  Kwa uongozi wa serikali ya wanafunzi (OUTSO): Ni wakati wa kuchukua hatua sasa....

  Nawasilisha
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  watupe tu digrii zetu hela zikija watasoma watakaojiunga mwakani
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Nenda kachukue.................Bado kuna watanzania wenye mawazo kama yako?
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nchi ishauzwa
   
 5. R

  Rangi 2 Senior Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thanks!!
   
 6. M

  Matarese JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ila pesa a kuwaweka mawaziri hotelini zipo, this is disgusting! Sasa yeye DVC anachukua hatua gani?
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Kweli ndo maana uvccm nao wanataka kula!!!!!:embarassed2:
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mwambien mheshimiwa atulie yake yamemshinda anakimbilia ya wenzake. hivi bado yupo nchi au kisha sepa (vasco da gama):focus:
   
Loading...