Jamani nataka kusoma masters!.

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Wana JF hamjambo?,mi ninatarajia kumaliza bachelor degree of Accountancy mwezi wa 7 na bahati nzuri nimepata sponsor kwa ajili ya MASTERS hvyo nlikuwa naomba kujua ni chuo kipi kizuri kwa ajili ya Masters of business administration-FINANCE,kiwe popote afrika masharika na pia kama inawezekana nijulishwe na gharama zake... Asante sana na ninatarajia mengi kutoka kwenu!.
 
Afrika mashariki tu?
UDSM,Makerere..
ila kama ni africa unaweza enda
University of Capetown wako poa nao.
 
Vipo vingi vingi mkuu, kwa MBA bongo unavijua ila nikupe tu vizuri vya Kenya ni Nairobi University, Catholic University of Eastern Africa, Jomo kenyatta University of Agriculture and technology, Kenyatta University, Strathmore, day star, Nazarene University. Nimesoma MBA- Strategic katika chuo kimoja wapo hapo ila shida ya kenya ni kuwa Karo kwenye private institutions iko juu balaa na public universities iko chini ila migomo dunia nzima kama nairobi university juzi ndo wametoka kwenye mgomo na jana wamegoma tena. na hii degree kwa MBA UNAISOMA KWA MWAKA MMOJA NA NUSU(Kwasababu ya trimester system ukitaka)

Vigoogle hivyo vyuo utapata fee structure!
 
Asante sana na Mungu akubaliki,ntafuatilia mkuu!.
 
Asante sana na Mungu akubaliki,ntafuatilia mkuu!.
 
Asante mkubwa na ninashukuru sana ntafuatilia kujua vipi hata huko afrika kusini!
 
Back
Top Bottom