Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE.

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Wafanyakazi wa chuo cha biashara waliunganisha nguvu kwa pamoja na kumkataa mkuu wa chuo hicho wiclief lugoe. Mkuu huyo anadaiwa kuondoa posho za nyumba, umeme na usafiri kwa wafanyakazi wote. Posho hizo zilianza kutolewa tangu mwaka 2003. Taarifa zinadai wafanyakazi walikesha wakisherehekea kutokana na kuondolewa kwa mkuu huyo ambaye amehamishiwa wizara ya viwanda na biashara.
 
Aibu sana Tanzania,
I wish Vyuo vingine waige coz Hao jamaa wakishapataga madaraka wanajisahau kabisa
 
bwana Udom katu hawawezi maana sioni watakuwa wakimpinga nani?wanafunzi wote ni ccm fans huoni mpaka wanamchangia bosi pesa ya kuchukua fomu?...waache Usimwamushe alelala kaka.,they lack conscietization&self-determination.
 
Walisha shituka....
 
nguvu ya umma au ya serikali...? heading haiendani na habari....!
sorry...!
 
Aibu sana Tanzania,
I wish Vyuo vingine waige coz Hao jamaa wakishapataga madaraka wanajisahau kabisa

Kabisa nadhani mfano huu ni wa kuigwa....hawa jamaa ni wasumbufu sana...wakishapata hayo madaraka wanadhani ndio wamefika ahera.....
 
bwana Udom katu hawawezi maana sioni watakuwa wakimpinga nani?wanafunzi wote ni ccm fans huoni mpaka wanamchangia bosi pesa ya kuchukua fomu?...waache Usimwamushe alelala kaka.,they lack conscietization&self-determination.

Sikubaliani na wewe.....UDOM wapiganaji wa kweli wapo..
 
Hivi hii tabia ya serikali kuwahamisha viongozi wabovu toka taasisi moja kwenda nyingine au kutoka ofisi moja kwenda nyingine utaisha lini? haiwezekani mtu hatolewe kwenye ofisi kwasababu ya kufanya vibaya halafu mnampeleka ofisi nyingine...ili iweje? akaboronge na huko? nadhani kuna tatizo la msingi hapa......
 
Mahesabu sio nguvu ya serikali ni nguvu ya umma wa wafanyakazi kama serikali ingekuwa na mpango wa kumuondoa isingesubiri wafanyakazi waanzishe move ya kumkataa. Nadhani atakayefuata ni MLACHA wa UDOM.
 
Mahesabu sio nguvu ya serikali ni nguvu ya umma wa wafanyakazi kama serikali ingekuwa na mpango wa kumuondoa isingesubiri wafanyakazi waanzishe move ya kumkataa. Nadhani atakayefuata ni MLACHA wa UDOM.
 
bwana Udom katu hawawezi maana sioni watakuwa wakimpinga nani?wanafunzi wote ni ccm fans huoni mpaka wanamchangia bosi pesa ya kuchukua fomu?...waache Usimwamushe alelala kaka.,they lack conscietization&self-determination.

we ni mpumbav,hujui unachokisema,kamsaidie mkeo kupika na kupiga umbea.
 
Wafanyakazi wa chuo cha biashara waliunganisha nguvu kwa pamoja na kumkataa mkuu wa chuo hicho wiclief lugoe. Mkuu huyo anadaiwa kuondoa posho za nyumba, umeme na usafiri kwa wafanyakazi wote. Posho hizo zilianza kutolewa tangu mwaka 2003. Taarifa zinadai wafanyakazi walikesha wakisherehekea kutokana na kuondolewa kwa mkuu huyo ambaye amehamishiwa wizara ya viwanda na biashara.

na MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION wanasubiri nini kuwang'oa Pro MREMA na MOCHIWA?? aibu zao eti! Big up CBE-kumbe vilaza wakiamua wanaweza heeeeeeeeeeee!
 
Kuhamishiwa sehemu nyingine ndiyo kuondolewa? Kumwondoa MLACHA UDOM ni kukaribisha ufisadi, ni kukaribisha upendeleo kwa makandarasi wabadhirifu ambao ndiyo wanaendesha vita/chuki dhidi yake. Ungozi siyo kupendwa na kila mtu hasa wenye maslahi yao. Uongozi si ubabe. Uongozi ni utii, uongozi ni utu.
 
No sikubaliania na wewe kuwa CBE nivilaza ,wamemwondoa mkuu wa chuo ili waendeleo kuuza mitihani na kufanya ushenzi wao wakuingia darasanai wanapota Dr Lugoe alikuwa amekirudishia chuo heshima yake ila sasa ndio basi tena ni madudu matupu! kwani wana kwambia ni chuo cha biashara wako kibiashara zaidi,na walimu walio fukuzwa ukuu wa idara ndio walio chochea kumwandoa,ni ujinga mtupu vilaza vitazidi mara dufu!
 
Back
Top Bottom