Ushauri wa kuendelea na masomo

Laura Mkaju

Senior Member
Jan 31, 2011
194
40
Wapendwa wana JF naomba msaada/ushauri wa kujiendeleza na masomo kwa ngazi ya juu, kwa maana ya kwamba nimesoma Diploma ya Business Admn na kupata daraja la PASS hivyo naomba ushauri kwenu nifanye ili niweze kuendelea mbele zaidi kimasomo kutokana na ufaulu huo mdogo. Wana Great Thnkers ushauri mtakaonipa nitaufanyia kazi.
 
Mbona nafasi unayo unaweza kusoma BBA au Bachelor of Accounting ..na siku hizi vyuo ni vingi sana na nafasi zipo sana.
Naona huna haja hata ya kusumbuka.
Mimi nina rafiki zangu walimaliza Diploma ya accounts pale CBE na sasa wanafanya Bachelor Degree.
 
Vitendo nashukuru kwa kunipa mwanga, ngoja nichangamke mapema kabisa kabla sijakosa uhondo wa kusoma. Maana nimechakachua kichwa hadi kinauma!
 
Back
Top Bottom