hawa wazazi nao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hawa wazazi nao

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by wakozuka, Mar 25, 2011.

 1. wakozuka

  wakozuka Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  jamani hivi wazazi wenye watoto waliomaliza form four wapo hai kweli?
  mtawezaje ona watoto wenu wamefilikiasi hicho nakukaa kimya pasipo hatua yeyote?
  Au mmekubaliana na swala kuwa watoto wenu niwajinga hawawezi kitu?
  Mmeishi nao nyie wenyewe mwajua jinsi akili zao zilivyo
  lakini mnakaa kimya tuu kuhusu hili swala la mwaka huu.
  hivi kama wazazi mngewasimamia kidedea hii sekta ya elimu iboreshwe lingeshindikana kweli?
  kwanza wazazi nyie wenyewe ndio mpo huko katika hizo sekta je mwafanyaje jamani?
  tukubaliane nahili swala kuwa Tanzania tunasaidiana kuwa wajinga na waoga wamabadiliko.
   
Loading...