Nini kifanyike? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kifanyike?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by msnajo, Mar 23, 2011.

 1. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Wadau naomba kuwasilisha mada kwenu kwamba"Nini kifanyike kuwasaidia wadogo zetu waliofail mitihani yao ya mwaka jana?" kwa kuwa wengi wamepata alama za 0 na hawawezi kujiendeleza kielimu, tufanyeje kama jamii kwa ujumla? Hili nitatizo kwani muendelezo wa matokeo kama haya kwa miaka mitano ijayo uhalifu utaongezeka na mitaani kuku hawataishi kwa aman kabisa. Nbmini kuwa kwa uelewa wenu mliojaliwa na Mungu mtatoa mawazo endelevu na nikiwa kama mdau wa elimu naahidi kuwa nitayafanyia kazi mawazo yenu kwani Tanzania yetu ni moja na mafanikio ya kila mmoja wetu ndo yatatuwezesha kuondokana na umaskini wa kupindukia unaotuzunguka. Naomba mchango wenu wa mawazo, maendeleo ya Nchi yetu yataletwa na cc Watanzania wenyewe wala hakuna wakutusaidia. Asanteni, Nawakilisha..
   
Loading...