UDOM wajisafisha rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM wajisafisha rasmi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by masingo sharili, Mar 26, 2011.

 1. m

  masingo sharili Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Miaka michache iliyopita tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha dodoma, wanafunzi wengi wa chuo hicho walihusishwa na chama tawala yaani ccm. Lakini siku za hivi karibuni idadi kubwa ya wanafunzi wa chuo hicho wameudhihirishia uma wa watanzania kuwa ni wana mapinduzi wa kweli. Mfano siku moja kabla ya uzinduzi wa sherehe za kuzaliwa kwa ccm mjini dodoma gari lililofika kutangaza chuoni hapo lilizuiliwa kwa ghadhabu na baadhi ya wanafunzi. Hata hivyo siku ya sherehe walijitokeza wanafunzi wachache sana na kuzomewa na idadi kubwa ya wanafunzi hapo chuoni. Simaanishi kuwa kuisaliti ccm ndio kuwa mwanamapinduzi... La hasha, kimsingi wanafunzi wa vyuo vikuu wanatakiwa kuwa wachambuzi wa mambo zaidi ya vyama vya siasa kwa manufaa ya taifa. Hata hivyo kwa msomi wa chuo kikuu kuhusishwa na ccm ya leo ni aibu kubwa kutokana na chama hicho kuwa chanzo cha umasikini mkubwa ndani ya tanzania.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  nasikia hata kata kilipo udom diwani wake siyo wa ccm

  i need more from you guys
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Yap UDOM ipo kata ya Makole na diwani wake ni wa CHADEMA.........................
   
 4. escober

  escober JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  they have to prove more. we still believe they are still liberation traitors
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Aisee,ni aibu kushabikia ccm saivi labda kimya kimya chumbani au nyumbani kwako,...
   
 6. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  ...Kwa mfano huo uliotoa Sidhani kama ni uanamapinduzi wa kweli!
   
 7. m

  matawi JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kweli tupu Masingo chuoni inabidin wabaki ma- purpet wachache sana wa kuitangaza ccm waliobaki wana kazi ya kuishikisha adabu ccm
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Hawa ni ndugu zetu lakni wanatakiwa kufanya utafiti juu ya uhusiano uliopo kati ya uongozi Vs maendeleo ama uongozi Vs umasikin ..warejee na mambo manne aliyoyasema Mwl.Nyerere juu ya maendeleo (1) Watu (2)Ardhi....make wao ndo wanasoma na ndo wahanga wa uongozi mbovu pale watakapokuwa wanatembea na mabahasha kusaka ajira zisizokuwepo
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  hapo umeudanganya uma mkuu.UDOM haipo kata ya makole ila ipo kata ya makulu.
   
 11. i

  ibange JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ndio maana kimaro wa vunjo aliwaambia uvccm waache longolongo wakitaka waende pale udsm waone kama kuna mtu atawasikiliza. sio udsm tu uvccm hawana influence kwenye chuo kikuu chochote tz kwa sasa
   
 12. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Hapa na we umedanganya ndugu. CBE ipo kata ya tambukaleli' na diwani ni bwana mmoja anaitwa Adamu - CCM.
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  hahahhaaaaa..mwendo wa kupotosha uma tu.
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nikikumbuka jinsi walivyovurumishwa kwa mabomu naona sababu kabisa ya kuikataa serikali ya ccm.
  I always wish 2015 iwe mwisho wa CCM lakini kuongozwa chama cha wafanyabiashara ni bora ccm watawale hata maisha kwani itakuwa even more than worse.
   
 15. k

  kiche JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ccm ina propaganda tu,hakuna chuo kikuu ambacho ccm inaweza kusema kuwa ina kambi ila uwa inapata watu wachache ambao kutokana na kutojua kwao au kwa makusudi uwa na vihelehele sana chuoni na vitisho kuwa bila ccm wanafunzi wanaoipinga ccm hawawezi kupata kazi!!,hayo nimeyashuhudia mwenyewe kwani mimi nimemaliza chuo mwaka jana tu,ni upunguani tu walionao na kwa vile uwa hawazuiliwi kujitangaza basi unaweza kusema kuwa ni kambi ya ccm lakini ukitaka kujua weka sanduku la kura hata 25% uwa hawapati,mbali na mashuleni hata maofisi ya serikali ni wapinzani watupu,huo ndiyo ukweli anayetaka kuukubali sawa na asiyetaka anaweza kuacha.
   
Loading...