Wanaotaka kusoma Uingereza - Sheria za visa kukazwa

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
Sheria za kupata viza za wanafunzi nchini Uingereza zinatarajiwa kuwa ngumu zaidi- baada ya kuibuka wasiwasi kuwa mbinu za kuingia nchini humo kwa minajil hiyo hutumiwa kiudanganyifu

Waziri wa mambo ya ndani Theresa May alisema viza za wanafunzi hazitumiwi inavyotakiwa na "wengi wamekuja hapa kufanya kazi na si kusoma".

Alitangaza mpango wa kupunguza idadi ya viza za wanafunzi kufikia 80,000- takriban robo ya idadi iliyopo sasa.

Waziri kivuli wa wizara ya mambo ya ndani Yvette Cooper alionya sheria hazitakiwi kuharibu idara zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni tano kwa mwaka.

Bi May aliliambia bunge kuwa matumizi mabaya ya viza za wanafunzi yamekuwa "ishara ya mfumo wa uhamiaji uliotumiwa vibaya".

Sheria za lugha
Sheria ngumu zilizowekwa ni pamoja na mwanafunzi kutakiwa kuzungumza lugha ya Kiingereza.

Bi May alisema alitaka kumaliza tatizo ambapo wale wanaojifanya wanafunzi hufika kwenye uwanja wa ndege wa Uingereza na kushindwa hata kutaja masomo wanayotarajia kufanya.

Pia utaratibu utazidi kubanwa kwenye kuwaruhusu wanaolelewa na mwanafunzi huyo kujiunga naye Uingereza- na idadi ya miaka ya wanafunzi kutoka nje kukaa Uingereza baada ya kumaliza masomo yao itapunguzwa.

Katika kukabiliana na wasiwasi wa viza za wanafunzi kutumiwa vibaya na wahamiaji wa kiuchumi, kutakuwa na kiwango maalum cha saa za kufanya kazi kwa wanafunzi kutoka nje.

Awali vyuo vikuu vilionyesha wasiwasi wa kupoteza wanafunzi kutoka nchi za nje kutokana na sheria kali za kuomba viza.

Vikwazo vingi vinawalenga wanafunzi walio katika vyuo vya watu binafsi badala ya vyuo vikuu.

Hata hivyo Bi May aliwaambia wabunge kwamba "njia kama hiyo" ya kusoma kupitia vyuo vikuu vitalindwa, iwapo tu vyuo vikuu vitawadhamini wanafunzi.

Source: BBC
 
Waziri wa Mambo ya nchi za nchi wa Tanzania Mheshimiwa Membe anakusudia kupeleka mswada bungeni wa kuruhusu dual citizenship, na sasa Uingereza yataka kukaza kamba kupunguza idadi ya wanafuzi wa kutoka mataifa ya nje. Hapa wananichanganya bongo maana nilitazamia nitumie fursa ya kwendea kusoma ili ninufaike na janja ya kupata dual citizenship? Ama kwa hakika mbuzi maskini hazai.
 
Waziri wa Mambo ya nchi za nchi wa Tanzania Mheshimiwa Membe anakusudia kupeleka mswada bungeni wa kuruhusu dual citizenship, na sasa Uingereza yataka kukaza kamba kupunguza idadi ya wanafuzi wa kutoka mataifa ya nje. Hapa wananichanganya bongo maana nilitazamia nitumie fursa ya kwendea kusoma ili ninufaike na janja ya kupata dual citizenship? Ama kwa hakika mbuzi maskini hazai.

Watu waanze kuwa na mawazo ya kwenda kusoma Libya sasa
 
All aboard for a free ride to Britain: London bus used for poster in India selling bogus student visas to the UK



By Daily Mail Reporter
Last updated at 5:59 PM on 21st March 2011


London's iconic double-decker bus is at the heart of a scam in India selling bogus student visas for entry into the UK.
The red Routemaster-style bus emblazoned with the Union Jack, takes centre stage on a giant billboard in the Gujarat, in western India, for all to see.
The slogan accompanying the advert, which also features the capital's famous Big Ben clock, brazenly declares: 'Get a FREE ride to the UK. Apply for admissions, get your visas & fly FREE to London.'

article-1368488-0B4625A700000578-629_634x478.jpg
All aboard: London's iconic double-decker bus is at the centre of a scam in India selling bogus student visas for entry into the UK


The striking advert has proved so popular hordes of people flocked to get a closer look at the deal in the city of Ahmedabad where the poster was on show.
Prime Minister David Cameron's coalition Government has pledged to bring student visas under the spotlight this week following concerns more and more people are abusing the current system.
New figures show the number of foreign students' asylum claims have soared in 12 months from an average of 20 per month to 90.

Migration campaigners have slammed the advert saying it proved their was a 'gaping hole' in the British immigration system, which seen as a 'soft touch' for foreigners looking to settle in Britain.



More...



Sir Andrew Green, of pressure group MigrationWatch UK, described the advert as 'staggering.'
He added: 'You can hardly have clearer evidence of the gaping hole in our immigration system.

More than 360,000 visas were handed out to non EU men and women registering in Britain as 'students' between June 2009 and June last year.

article-1368488-0B4625AB00000578-907_634x478.jpg
Visa anyone? People queue around the Indian London bus poster in Ahmedabad, Gujarat

Mr Cameron last year pledged to cut the number of immigrants to tens of thousands, rather than hundreds of thousands claiming he opposed an increase in immigration which would take the population over 70 million.
He said limits needed to be imposed to make sure public services could cope.
 
Visa huko India nje nje tu hivi, mpaka wazungu wanatushtukia ati. Wahindi wajua biashara kweli. Wabongo wetu tumezubaa kwani nchi nyingine visa hupatikana kupitia kwa mawakala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom