Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

kuna mazingra ya rushwa kati ya heslb, tcu dhidi ya vyuo visivyo na umaarufu, ambavyo kwa mfumo huu wa tcu ni vigumu kupata wanafunz hapo ndipo dili zinachezwa, ndio maana m2 ana E E F kapewa chuo...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Kuna dogo hapa kachaguliwa to parsue BACHELOR OF SCIENCE IN ENVIRONMENTAL ENGENEERING at ARDHI UNIVERSITY. So shida yangu,nataka kujua 1. hii coz inahusika na nini hasa ,2.mtu aliye graduate coz...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
serikali ya Tz imeridhia kushirikiana na cuba ktk elimu ya watu wazima. source: chanel ten
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa, TUMESOMA , kuwa wanafunzi wapatao elfu 14,000 wenye sifa za kujiunga na masomo ya elimu ya juu wamekosa sifa za kupata mikopo kutoka bodi hiyo. Hii ni taarifa ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau naombeni mnisaidie kujua kama ile tabia ya wakuu wa wilwya ya kuchapa walimu viboko itaendelea ili nijiandae kwa kuvaa nguo ngumu ikiwezekana ngozi kabisa. lakini pia je kitendo cha kuchapa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka niende kusoma IT diploma je nitapata wapi chuo kizur na kinachotoa elimu nzuri?naomba msaada
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF. Nina kijana ambaye alipata division two katika mtihani wa form six na amechaguliwa kusoma uchumi ARDHI university. Cha kushanganza kijana huyu kakosa mkopo kwa comment ya "NOT A...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Katibu mkuu wa wizara ya Elimu amewaagiza bodi ya mikopo kupitia upya wale waliokosa mkopo na walopata mkopo ila haki itendeke kwa kila mmojawajo. My take: Wanafunzi zaidi ya 800 inasemekana...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wana~jamvi,kuna dogo hapa kachaguliwa kusoma UDSM,B.A.in Statistics mkopo kapewa 2.83Milioni,sasa naomba anayejua kuhusu haya yafuatayo anijuze ili nijue jinsi ya kumsaidia.1)Siku za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu,wale wote mlokua na mikopo ktk yale majina ya mwanzo bac frm nw jìhesabuni hamna mkopo,zoezi linarudiwa upya.source,mtu wa karibu na bodi ya mikopo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima mbele. natumia nafasi hii kuwaasa serikali waachane na siasa kwenye maswala ya elimu.mitihani ya darasa la 7 imekuwa rahisi sana kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la 5 akiifanya anaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
gharama za course nayoenda kusoma ni mil 1 na laki 3,nimepewa mil 3 laki 9...hizi ni %ngapi?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Matokeo jaman ya second round lin mnisaidie ndugu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote anayekifahamu hiki chuo cha Kampala International (KIU) vizuri anijuze jinsi tu kilivyo kuhusu masuala ya elimu na mambo mengine Asanteni sana.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Toka TCU watoe majina nakusikia wanafunzi wakilalama ikanibidi nifanye utafiti kuna wanafunzi wengi wenye div 3 ambao kwa miaka ya nyuma ila wapate mkopo inabidi wachague UALIMU AMA KWENDA KUSOMEA...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Closest Human Ancestor May Rewrite Steps in Our Evolution - Yahoo! News
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Hii serikal yetu inajikanganya yenyewe,leo naibu wazir wa elimu kwenye kipindi cha MIAKA 50 YA UHURU NA MAENDELEO KTK ELIMU chanel 10 amesema kigezo muhimu cha kupata mkopo kwa wanafunzi wa elimu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimepata taarifa kutoka kituo kimoja cha watoto yatima Magu. Wamekuwa wakiwapeleka watoto wao kusoma Uingereza kwa miaka mitatu sasa, lakini ili waweze kwenda UK wanahitaji barua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imeripotiwa kuwa mwanafunzi wa kike kutoka shule ya KIBAKWE wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma ameshindwa kufanya mtihani wa VII. Hii ni kutokana na kupewa ujauzito na mwalimu wake mkuu. Mara baada...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom